Warning to all men


tumekuelewa tumekusikia.................
 

Mkuu matofali 6500 unasimamisha nyumba ya vyumba vitatu na sebule bila wasiwasi
 
hapana Tyta naona mama zetu wanapewa tu ila hawa vijaan kulia lia kila siku ni nini kimewapata kwani? tafuteni pesa ndo kila kitu

kweli pesa ni tamu sana ni tamu kwakila namna...
kijana akizipata madingi watamwita bwana...
na dingi akizipata ataonekana ni kijana...
 

Mimi nilifikiri ujumbe ni wa wanaume tu, basi ngoja ngoja nimjengee kabisa sonushka ili asishindwe kumnunulia Brazilian mcutee wa snowhite.
 
Last edited by a moderator:
Ahh hata sijui nilisomaje lol

tutamnnulia kiwanja tu
kujenga ajenge mwenyewe ajue value ya pesa:biggrin:

Shida ukiwa blinded na wivu ndio matokeo yake hayo. Haya baba kiwanja inatosha, kwa muda binti mangi atasuka yeboyebo.
Cc: snowhite
 
Last edited by a moderator:
Dunia nzima kuna Baba mwenye nyumba,hakuna Baba mwenye gari!. 2014 kijana jipange!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…