WARNING: (sensitive pics) Mtu afanyiwa ukatili!

Duh ungetoa tahadhari ya picha ingekuwa safi sana
Japo kuna elimu kwenye hili lakini Vp upande mwengine (kwa mtuhumiwa mwenzie)

Sheria mkononi sio Bongo tuu hata kwengine
 
Duh ungetoa tahadhari ya picha ingekuwa safi sana
Japo kuna elimu kwenye hili lakini Vp upande mwengine (kwa mtuhumiwa mwenzie)

Sheria mkononi sio Bongo tuu hata kwengine
Nilishatoa tahadhari, hukusoma kichwa cha habari vizuri.
 
Da,,
Ee mola nizidishie ujasiri wa kushinda tamaa,
Niimarishe niwe peke yangu.
 
ah ata K sumu lakini bado tunaipenda pamoja na matangazo ya tupo wangapi...wacha bwana wewe mpaka rais anasema gonjwa limekaa patamu, vijana na wazee wanapapenda aliona mbali mwana
 
Back
Top Bottom