Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

kweli mkuu,hii kitu mwenyewe ilinikuta Dubai kule Deira,nilikuwa nafanya last minute shopping usiku nikawahi metro nikakutana na jamaa wa kihindi kazishika mbili anataka dirham 1000 claiming ameiba dukani.i was ready to give him ila roho ikasita,nikasema nitazifata next time,kumbe ningekua nalia sasa hivi
 

Mkuu salute....
Vipi kujaribu kucheki imei ya simu?
Ukiingiza imei hapa http://www.imei.info inakupa indication kama simu ni halisi....
 

Pia 4s ya kichina haina SIRI
 




Mkuu kwa jinsi unavyoandika inaonyedhesha nu kweli umeuziwa cheni ya Bandia
 

Mkuu nitatambuaje kama sumsung galaxy s3 ni mchina?
 
Hizo zipo ila hMkuu zipo zinatengenezwa korea kila kitu nisawa na iphone,HTC,Samsung etc huwezi kujua kujua kwake ni katika play store yake kuna application za kichina na siyo nyingi!Nimeuza sana HTC na zinafanya kazi vizuri ila mchina wakorea!!
 
Hizo zipo ila hMkuu zipo zinatengenezwa korea kila kitu nisawa na iphone,HTC,Samsung etc huwezi kujua kujua kwake ni katika play store yake kuna application za kichina na siyo nyingi!Nimeuza sana HTC na zinafanya kazi vizuri ila mchina wakorea!!

kaka huwez pata iphone fake nzuri sababu ios haiwez tumiwa na mtu mwengine zaidi ya apple. ni tofauti na michina ya android
 
dah! hawa jamaa mbona wanapenda kututengeza sisi wagema ulimbo?
Nalog off
 
Kumbe ndivyo ilivyo mi nilijua pia inatumia maana huku niliko mambo hayo bado sana na je,inakuwa na uwezo gani wa kuhifadhi muziki,picha na video?
Nalog off
 
Nauza cover na bankcharger ya samsung galax x2.....kwa anaehitaji piga simu namba 0658904648
 
s 4 mini nmechukua kwa 160 duh ahsante mchina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…