Mi ni user tu shem. Kimachotakiwa kwangu ni simu iwe na uwezo wa kufanya nayoyataka. Kila mtu huwa anasema yake..wengine wanasema ios ndio best, wengine android, wengine windows, wengine rim na leo nasikia kuna OS za kichina. Nimeshatumia simu zote but sion tofaut. Nachofanya sasa ni kugoogle best smart phone, inayokuwa ya kwanza kwenye market ndio nainunua. Sihitaji kwenda into details cuz najua vile vitu basic navyohitaji lazima nitavipata.Hahaha. Sasa OS hujui, simu yako unatumia kubip na kutuma sms ama? Usipotee sana shemeji.
Mi hayo mambo ya OS sijui atuntu siyajui..nilinununua galaxy S4 dukani kwa samsung dealer, ni made in China...warranty ya miaka 2 inacover mpaka physical damage.
.
mkuu kwa laki mbili ni bei nzuri sana. vp na mi nkitaka naweza kupata?
Hahaha...nipo mkuu, majukumu yamezidi ndio maana hunioni sana. Huwa nakuwa tu mtizamaji mzuri.Mzee Rejao ulipotelea wapi tena ndugu yangu? Yaani huwa naku-miss sana yaani tu hasa sura yako!
Kwani teknolojia ya Mchina na Mkorea zinatofauti yoyote kubwa?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu Rejao pole sana naona M4C inazidi kukuzeesha
Hazina tofauti si unaona jinsi jamaaa wanavyofanana hadi Sura
Mkuu siasa ndio kila kitu, bila siasa hata haya mambo ya teknolojia tusingekuwa tunayajadili hapa. Kuhusu simu yako, angalia issue za memory, au bandle unayotumiahahahaha kwa jinsi m,livyoanza na Rejao nilijua tu mtafika nae kwenye siasa,hebu turud kwenye tknolojia,najifunza mengi hapa maana me nimeng'ang'ana na NOKIA yangu,nshaidondosha zaid ya mara 20,ni C3-00 ila sasa inakataa kudowload whatsapp,inaniambia dowload failed,nifanyeje?
Lumumba walikusitishia malipo ya kila post buku ndio maana ukakimbia Jf sasa hivi wanakulipa buku saba kwa post sema tu ukweli Rejao.Hahaha...nipo mkuu, majukumu yamezidi ndio maana hunioni sana. Huwa nakuwa tu mtizamaji mzuri.
Je zinatumia android jelly bean kweli au hata os ni fake
Na kama inatumia os original inabeba apps za android bila shida?
zipo nyingi tu feki sema zinagundulika kirahisi
1. ukitype hairespond vizuri kila saa unakosea au ukitouch namba haifany kitu
2. zinatumia line kubwa badala ya ndogo
3. hazina playstore ya kudownload apps
4. zina java apps wakati iphone haina java
5. ukiclick browser ya safari inakuletea uc browser
6. nyengine zina memory card wakati iphone haitumii memory card
7. zina usb cable universal ya kawaida kama nokia, samsung wakati iphone cable yake ni unique
8. mandishi mandishi ya kichina unayakuta baadhi ya maeneo wakati kwengine ni kingereza
afadhali mi uwa nasubiri kwanza hata mwaka upite ndo nichukue, mimi now galaxy s2
Je zinatumia android jelly bean kweli au hata os ni fake
Na kama inatumia os original inabeba apps za android bila shida?
hata mm nina hiyo s2 ss cjui nilichakachuliwa? ina internal memory ya 14gb na ram kama kawa 1gb. nilimuuliza muuzaji akaniambia hizo 2gb zipo ktk application na kuwa huwez ona total yote 16gb. is it true? ila kazi inapiga frsh saana
chief usihangaika mie nimezikuta Aggrey tena kwa laki na nusu.
Je zinatumia android jelly bean kweli au hata os ni fake
Na kama inatumia os original inabeba apps za android bila shida?