unapokea simu
unapokea msg
unapiga simu
unatuma msg
upo online whatsapp
upo online sijui twitter facebook instagram
wewe ni senior member jf unataka kila saa uingie
bado umesign kwa emails yahoo gmail hotmail na saa zingine msn messenger
teh teh hiyo hiyo unaandaa presentation ya kesho
kila saa kujifotoa mapicha na mivideo
bila kusahau you tube kila saa
simu hiyo hiyo unailalamikia haikai na chaji??
ahaaaa zioneeeni huruma basi na muwe fair kufanya judgement