Mtaka cha uvunguni sharti ainame so itabidi ujifunze, pili nitakufundisha katika moja ya strategy za kukufanya u fall, tatu hata ukitaka chit chat au MMU darasa linaweza endelea tuNIlishindwa kutumia hiyo kitu nilipokua shuleni ndio nijifunze leo?
Hiyo criticality nanunua wapi? au ni paji la kuzaliwa tu?
kama ni ya kuzaliwa, kama ni vya kusoma, bora niache tu.
Mi siwezi kwenda mbali na chit chat au MMU jamani. :disapointed:
Mi natyaka ujaribu kwangu, make me fall in loveMtaka cha uvunguni sharti ainame so itabidi ujifunze, pili nitakufundisha katika moja ya strategy za kukufanya u fall, tatu hata ukitaka chit chat au MMU darasa linaweza endelea tu
Mi natyaka ujaribu kwangu, make me fall in love
then dump me and break my heart. Nitakua nimesha jifunza
hapo nasimama, nakunguta vumbi, naenda sasa ku-apply
Yale yote nilio jifunza kwako, najaribu kwa muuza pet
tuone kama it will work. when do we start (wewe na mimi)?
We start on three........One...........Two............and Threee here we go...........Mi natyaka ujaribu kwangu, make me fall in love
then dump me and break my heart. Nitakua nimesha jifunza
hapo nasimama, nakunguta vumbi, naenda sasa ku-apply
Yale yote nilio jifunza kwako, najaribu kwa muuza pet
tuone kama it will work. when do we start (wewe na mimi)?
Thank you Hun, asante kwa kunipa uhakika huo.I love where this is going..
Mwali darling i got ur back incase he manages to break ur heart..!
Haya, ndio tumeanza hivi. nimekufungia PMWe start on three........One...........Two............and Threee here we go...........
Ila naomba usije ukanifanya na mi nikafall we unatakiwa upokee tu usirespond against
Hapana bhana thats not fair we have to play on fair grounds no off sides no hand balls hiyo umefanya offside bhanaThank you Hun, asante kwa kunipa uhakika huo.
I will need somebody to help me stand up. lol
Ula naona na mwenzangu nae anaingia contract na wasiwasi:
Haya, ndio tumeanza hivi. nimekufungia PM
Najaribu kuweka mazingira magumu kama nilivo wekewa huko
Game yote ni hapa chit chat na MMU tuu, hadi nianguke. lolest
Offside gani tena? kwa kusema game ichezewe hapa hapa?Hapana bhana thats not fair we have to play on fair grounds no off sides no hand balls hiyo umefanya offside bhana