Warning, Disturbing Images: Je umeshawahi kutoa mimba?

East Africa imepitwa na Latin America tu kwa baa la utoaji mimba haramu....huuuuuh! (according to WHO)

What idara? Watu mpaka maelezo ya matumizi haramu ya dawa wanapewa pharmacy.
Idara zinazohusika na udhibiti wa uuzaji madawa

After pushing her hard on instructions for usage the seller claimed that for the case of abortion it can be carried out at home within the first nine weeks of pregnancy.
Hata hivyo baada ya wikii sita ni hatari sana kufanya hii kitu bila usimamizi wa daktari

Idara zinazohusika na udhibiti wa uuzaji madawa

Hata hivyo baada ya miezi sita ni hatari sana kufanya hii kitu bila usimamizi wa daktari

Hakuna cha six months wala nine weeks, hizi dawa hazipaswi kuuzwa kiholela kama inavyofanyika hapa kwetu!

Hakuna cha six months wala nine weeks, hizi dawa hazipaswi kuuzwa kiholela kama inavyofanyika hapa kwetu!

Changanya upatikanaji wa dawa na madaktari kirahisi, kutokuwepo kwa law enforcement na ukosefu wa elimu ya madhara ya abortion ndio unakutana na haya mazowea bongo.

Hivi kiumbe kilchokuwa "tumboni" mwa mwanamke ni "binadamu"?

Dhambi kubwa ni ipi? Kuzaa "mtoto wa mtaani" au "kukatisha ukuaji wa kiumbe tumboni mwa mwanamke"?

Naamini hata "mtaguso wa VATICAN" unatambua "hicho kiumbe" kuwa mtu baada ya 20 weeks!

Baba Enock samahani ila naomba muongozo .....unaposema 'hata' unakusudia kuwa hiyo ni ultimate authority ya kutupa definition ya lini kiumbe ndani ya mwili wa binaadamu kinakuwa mtu?

Kwa mtaguso wa Vatican ...dhambi zote ni sawa, kuanzia zinaa, kuzaa mtoto wa mtaani, kukatisha ukuaji wa kiumbe tumboni, udokozi wa pesa za umma, kusema uongo na kadhalika.

btw, sheria ya Vatican hairuhusu abortion hata katika kesi ya rape. Hii hapa ni kesi ya msichana wa miaka 9 aliyekuwa raped na akawa 15 weeks pregnant with twins na Vatican ikakasirika kwa nini kafanyiwa abortion (So hilo la wiki 20 hatujalielewa vizuri)

http://news.bbc.co.uk/2/hi/americas/7930380.stm

Back
Top Bottom