Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
G bado kidogo na ww ungechelewa kuiweka hiyo dislaimer....bahati yako!
Sasa hapo kwenye kutoa mimba ili upate psychological relief hapo....kitendo chenyewe cha kutoa mimba si tayari kinaweza kumpa mtu tatizo la kisaikolojia?
Au tatizo hilo linakuwa si long lasting kama vile kumzaa mtoto na kuwa nae for the rest of your life?
Kwa wanaokuwa raped hata kusikia tu sauti ya rapist inaweza kumpa panick attack, sasa kumuona mtoto kila siku wengine wanaamini watashindwa kumlea na kumpa mtoto mapenzi anayostahiki. Na pia ile kujua kuwa dhehebu limemruhusu nafikiri inaweza isimpe shida sana kisaikolojia kutoa hiyo mimba. Anajua ghadhabu za Mungu kaziepuka hapo
Ni kweli kabisa kama mtu anapata tubuar pregancy hapa ni lazima wa-ternimate kwa ajili ya afya ya mama ila kuna mtu naye mfahamu ambaye alikuwa na tubular pregnancy na walimpa uchaguzi wa ku-plant kwenye tumbo la uzazi au kutupa viseli. Yeye alichagua kuplant, katoto kake sasa ni ka six grader
Hii wakati mwengine inategemea na eneo ulilopo ikimaanisha utaalamu na uwezo wa hospitali utakayotembelea pia. Hiyo choice si rahisi kupatiwa huko Sumbawanga kwa mfano.