Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,742
- 21,766
Options ulizozieleza zote zimeshatumika na zimefail hata kwenye mataifa makubwa na kongwe kama Marekani n.k...mimi naomba kwa heshima kabisa nitofautiane na wewe kuhusu ushiriki wa "intelligence system" ktk masuala ya siasa.
..unapopendekeza intelligence system ifanye vetting ya wanasiasa, Je nani anawa-vet watu wa intelligence system?
..Ushauri wangu ni kuwa tuboreshe mfumo wetu wa ELIMU. watoto wetu wafundishwe uadilifu, utu, na kuipenda nchi yao tangu wakiwa mashuleni.
..Vilevile tuweke mfumo na taratibu zinazozuia fedha na rushwa kuwa kikwazo cha wenye nia kuingia ktk siasa na uongozi.
..lingine ni kuweka sheria za maadili ya viongozi na kuvipa nguvu vyombo vyetu ku-enforce sheria hizo. Viongozi lazima waogope kuvunja sheria na wawe na uhakika kwamba hakuna aliye juu ya sheria.
..Mwisho, wananchi tunatakiwa tuwe na mwamko wa kuchagua viongozi wenye maadili na wanaozingati sheria na utawala bora.
Unforgetable