piga uwa garagaza ni serikali 2 tu mengineyo tutayaboresha hatutaki kuivunja nchi yetu hadi sasa NAUNGA HOTUBA YA RAIS WANGU KIKWETE .......YALIO MENGI YANAZUNGUMZIKA
wazanzibar nchi yetu tushachukuwa 2010 kwa kura ya maoni 66% ya wapiga kura wamekubali sawa na 2/3 . mabadiliko ya 10 ya katiba ya Zanzibar. na kama mnafikira za kuwa zanzibar itabadili tena katiba yake kurudi kule utakuwa UNAISHI KWENYE MWEZI..MOON.. AU sayari ya PLUTO SI DUNIA HII. AU UNAWAZIMU. R.I.P TANZANIA
NI SAWA TANGANYIKA YENU msivunje bure.
hakuna Mzanzibar asietaka Zanzibar kuwa nchi LAkini kuna watanganyika hawataki Tanganyika iwe nchi.