Warioba usiwatishe Watanzania!

binafsi sijaskia kauli zake juu ya hilo but kama ni kweli, basi anachemka, katiba ni nchi, yeye ni nani? Katiba ni ya wa tz na c ya warioba, hata kama angekua anasimamia uundwaji wa katiba ya familia yake lazma wanafamilia waikubali ili iwe katiba, so how about katiba ya nchi? Haogopi? Mbona mimi natetemeka kuskia hivyo? Its a grand norm with legal sanctity....warioba, warioba,warioba, chondechonde let people need what they need. Othwise, siku moja nilimskia akiongea busara moja ambayo pia namunga mkono kwamba tusiishie kumkosoa tu bali tuchangie tunataka nini hapo namuunga mkono, tusifanye zogo bali tutoe maoni naye awe na jukumu la kuyaheshimu bila kichefuchefu.
 
Back
Top Bottom