tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 26,025
- 25,432
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dr Judge Joseph Warioba amesema kwamba yeye ni mwanaCCM wa ukweli tofauti na wengine ambao wako CCM kuchumia tumbo. Alisema hayo akiwa wilayani Bunda akiongea kwenye kongamano lililoandaliwa na asasi ya Fikra Pevu. Dr Warioba alisema kwamba kuna baadhi ya wanaCCM ambao wakiona maslahi yao hayatimii hukimbilia vyama vingine na kisha kurejea tena ndani ya chama huku wakijifanya kuwa na mapenzi na chama wakati si kweli.
Chanzo: Uhuru
MAONI YANGU
Nakubaliana kabisa na maoni ya Dr Warioba. Kuna wanaCCM kama vile Wassira, Shibuda, Nsasugwanko, Bagenda, Ndobo na Makongoro Nyerere ambao waliikimbia CCM baada ya kuona maslahi yao hayatimii lakini baadaye waliamua kulamba matapishi yao na kurejea tena ndani ya CCM.
:yield: