Warioba: Mimi ni mwanaCCM kindakindaki

Warioba: Mimi ni mwanaCCM kindakindaki

Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM

Lizaboni Mzee Warioba alihama na CCM toka TANU anaijua vilivyo kuliko wewe masalia au CCM Digitali. Warioba anaipenda CCM kutoka moyoni sio TUMBONI..yupo CCM na ataendelea kuwepo sababu katiba ya CCM ni nzuri mno kuliko ya Chama chochote cha kijamaa sema Chama kimetekwa na Maharamia hawafuati yale yanayokatazwa na katiba wao wanajiendeea tu na matumbo yao basii..Kuwa muumini wa katiba ya CCM wa Ukweli ni lazima uwe na kichwa cha mwenda wazimuu.
 
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM

kweli mkuu ccm haihitaji wapuuzi kama warioba inahitaji watu wanaojitambua kama hawa nakuona uko mbele kabisa ukiwaongoza kina MSALANI, SHONZA, THATHA nk
View attachment 194154
 
Waryoba anataka kugombea kwa tiketi ya UKAWA.
Kugombea ni suala la kibinafsi zaidi lakini nafasi yenewe mf. uraisi ni suala la wote pamoja na anayegombea. urais, ubunge, udiwani n.k ni very sensitive. Watu sensitive watapatikana ikiwa sote tutajua umuhimu wa hiyo sensitivity.
 
Labda kwa tafsiri zetu sisi waafrika maslahi ni madaraka au mshiko; lakini kwenye nchi za wenzetu maslahi ya siasa ni mwelekeo wa taifa na chama kinasimama wapi. Kama wewe ukubaliana na chama na bado unataka kujigamba ni mwanachama halali msukumo ni maslahi ya madaraka au mshiko.

Ni wazi vyama vya siasa are re-known for gagging up members kwenye agenda zao na misingi yao. Mwanachama akishaonywa na asikii anapewa adhabu mtu ambae hawezi kukubali yuko huru kuhama hakuna chama kinachosema ukiondoka utapewa adhabu ndio wenzetu wanavyofanya na kuamia kule kwenye maslahi yao ya kisiasa/sera.

Mtu wenzako wameshaamua vinginevyo wewe bado tu umekazana ndio maana kunakuwa hakuna discipline ndani ya vyama this is the reason naikubali timu ya Mh.Mbowe na Dr.Slaa kwenye kuongoza na kuweka discipline chamani ingawa vision ya taifa hawana; wakisema ndugu sisi tunaenda hivi we ukisema unaenda vile ujue awakuachi kabisa lazima wakuonyeshe na wakutie adabu kama awataionyesha jamii sio mwenzetu kwa kukudharau basi unafukuzwa ata kwa mizengwe na inadi ikibidi.
 
Waryoba anataka kugombea kwa tiketi ya UKAWA.

hizi kauli tumezizoea. mtu yeyote anayetetea maslahi ya wananchi huitwa UKAWA. ina maana CCM nyie mnamtetea nani kama sio matumbo yenu pekee?
 
Last edited by a moderator:
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Kwani sifa za kuwa mwanaccm halisi ni kukubali kila kitu na kujitoa ufahamu ; ulitaka walioba asiwakilishe mawazo ya wananchi bali ya wanaccm, basi kwa taarifa yako katiba ni mali ya wananchi na si ya wanachama wa vyama vya siasa.
 
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM


Tuseme tu ukweli Una hadhi gani ya kumwita mzee warioba mpuuzi??
 
Hizo ni gongo na SIGARA ndizo zilikuwa zinaongea siyo WARYOBA.

Mkuu, thatha, fikiri kwa bidii na kwa kutumia kichwa badla ya m@k@li0. Gongo umemnunulia weye au amemnunulia mamayo?
 
Last edited by a moderator:
Safi sana mkuu lusungo, leo kwa mara ya kwanza umeongea jambo la msingi sana. Pongezi!


Mkuu katika jamii nje ya siasa na shughuli zetu kuna mambo yanasimama bila kujali hisia au itikadi...

Heshima ni kitu cha msingi kwa binadamu...
 
Last edited by a moderator:
Buku 7 zinawatesa sana hivi wewe unaga kazi? Au hihi ndo kazi

Mkuu, jamaa yupo kazini....si unaona alivyojipinda hapo ndani ya Lumumba House?
lumumba buku7.jpg
 
Back
Top Bottom