ndikulonda
JF-Expert Member
- Jul 20, 2014
- 390
- 186
Ni kweli Warioba amekosa sifa za kuwa mwana ccm. Sifa za mwana ccm kwa uchache ambazo Warioba hana ni kama zifuatazo:Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
- Mwana ccm lazima awe mwizi
- Mwana ccm lazima awe mla rushwa
- Mwana ccm lazima awe fisadi
- Mwana ccm lazima ajue kujipendekeza
- Mwana ccm lazima awe mwongo
- Mwana ccm lazima awe mnafiki
- Mwana ccm lazima awe mchumia tumbo.
Warioba hana sifa hizi hivyo Lizaboni umesema kweli,arudishe kadi yenu.