Huwezi elewa rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa na mzee msomi Warioba kwa kuwa unaonyesha kuwa akili yako ni fupi shame on youHuyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
kuelewa nini acha janjajanja sema kuelewa nini? nina wasiwasi hiyo rasimu huenda hujaisoma na ni miongoni mwa watu ambao hawakuojiwa na tume ya warioba ila umelishwa maneno na Warioba sasa anakuendesha kama roboti.:spider:Huwezi elewa rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa na mzee msomi Warioba kwa kuwa unaonyesha kuwa akili yako ni fupi shame on you
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
una miaka mingapi?kwa jinsi ulivyoandika nashukuru hata mzee wa watu hakuja tarafani kwenu,ungempa maoni gani?mzee wa watu ilibidi mambo mengine ajiongeze mwenyewe tu kuliko kukusanya maoni ya watu dizaini yako!pambafHuyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
Hakuna sababu ya kubishana hapa mwenye akili utamjua tu huhitaji hata kukosoa mtu ukweli wote unajulikana.
Jiulize maswali haya machache
- Kwa nini watu wana hofu sana na serikali tatu wakati bado hatujaamua kuingia humo?
- kwa nini chama tawala wote wawe na msimamo mmoja?
- Kwa nini Rais amjibu Warioba badala ya kuzindua bunge na kuliachia liamue?
- Kulikuwa na sababu gani kuunda tume halafu muikatae?
Maoni ya watanzania (Zanzibar na Tanganyika) yakawasilishwa na Jaji Warioba..labda useme Watanzania washitakiwe
napata shida sana na uelewa wako ebu wapigie simu ndugu zako 20 ukipata wawili ambao walibahatika kuhojiwa au kukutana na tume ya Warioba ndo urudi hapa janvini ntakwambia kitu ili upevuke naona upo gizani.Maoni ya watanzania (Zanzibar na Tanganyika) yakawasilishwa na Jaji Warioba..labda useme Watanzania washitakiwe
Huyu mzee taifa
lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa
njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri
(TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha
kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka
mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati
haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni
mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa
jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi
asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha
watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod:
Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa
kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA
MACHO WALA KIJIFICHA.
kuelewa nini acha janjajanja sema kuelewa nini? nina wasiwasi hiyo rasimu huenda hujaisoma na ni miongoni mwa watu ambao hawakuojiwa na tume ya warioba ila umelishwa maneno na Warioba sasa anakuendesha kama roboti.:spider:
Tatizo ni kwamba uko too low kimawazo na uthibitisho ni kupinga ukweli huu ' serikali mbili nchi mbili' kwa wenye uwezo finyu kama wewe sio rahisi kuelewa maana yake pole sana mkuukuelewa nini acha janjajanja sema kuelewa nini? nina wasiwasi hiyo rasimu huenda hujaisoma na ni miongoni mwa watu ambao hawakuojiwa na tume ya warioba ila umelishwa maneno na Warioba sasa anakuendesha kama roboti.:spider: