Warioba Anataka Nini Hasa?

LE MUTUZ amekimbia mke kule marekani BOSTON alikua marioo huyu kula kulala kashindwa majukumu kakimbia watoto na mke kule kwasasababu alikua amezoea kuletewa pesa na dingi...hawa watoto wa ccm wamezoea vibaya ila muda wao umefikia kikomo
 
By TUKUTUKU


Anataka katiba yenye kujali maslahi ya wananchi,siyo wewe mzee mwenye miaka 51,lakini unaakili kama za mtoto mwenye miaka 14!
Unapoendesha Noah na kupiga mziki mkubwa basi unaona umeyapatia maisha!

- Akili ya miaka 14 ni kufuatilia maisha ya wanaume wengine kama wewe na kuyasema huku kwenye mijdala ya siasa ndio utoto wa miaka 14, ah1 ha! ha!

Le Mutuz system
 
Ukiwa CCM unakuwa hunatofauti na mwanaume aliyelishwa limbwata.
 
Kwa mtu yeyote aliyemsikiliza MH Warioba jana na ana akili timamu sikutarajia mtu aje humu aandike uzi kama huu humu jamvini. Mwendesha kipindi alimuuliza maswali kwa mpangilio mzuri sana na yeye akayatolea ufafanuzi mzuri na wa kueleweka.

Yeyote anayedharau Tume ya Warioba ana lake jambo na hao ndio watafanya hii nchi yetu iingie kwenye mgogoro. Yaani CCM hawaamini kwamba Zanzibar tayari imeshawaacha kwenye mataa? Wakipitisha hizo serikali mbili haitachukua muda utasikia muungano umekwisha halafu watasingizia ni Mh Warioba!

Hapa ndio nashindwa kuelewa maana ya kwenda shule kwa wasomi wengine. Na alisema rekodi zote zipo kwa yeyote anayetaka kuziona/kuzipitia. Hivi Dr. Mvungi walimwondoa duniani kwa huu ukweli au kuna kitu kingine?
 
LE MUTUZ amekimbia mke kule marekani BOSTON alikua marioo huyu kula kulala kashindwa majukumu kakimbia watoto na mke kule kwasasababu alikua amezoea kuletewa pesa na dingi...hawa watoto wa ccm wamezoea vibaya ila muda wao umefikia kikomo

- Hapana fungua thread yake hapa sio pake ila kwa the benefit of others ni kwamba kwanza sijwahi kuishi Boston, na pili kabla ya kuoa nilikuwa ninaishi mwenyewe for 8 years na kabla ya hapo nimeishi Belgium 6 years mwenyewe sikuwahi kutunzwa na Mwanamke, na hata niliyemuoa nilimleta toka nje ya US, una maana Dr. slaa amemkimbia mkewe kwa kutaka kuoa mwingine? I mean tumia akili kidogo tu kabla ya kuandika kaka najua mna hasira sana ila ninayo divorce tayari ndio maana sasa nataka uoa tena yule mwanasheria si unazo habari au? ha! ha! ha!

Le Mutuz System
 
jibu swali acha ujinga,halafu kuna jamaa pale juu kasema unatembea na noah ukipiga mziki mkubwa je kweli?kwanza sitaki kuamini

- Ninaendesha gari langu ninasikiliza muziki sasa inahusu vipi na Serikali 2 mkuu sana? ha1 ha1

OK GUYS NAENDA MWANANYAMALA HOSPITAL KUNA KUTOA MISAADA LEO MMOJA KATI YA MARAFIKI ZANGU ANATOA MISAADA NITARUDI LATER!!

lE mUTUZ sYSTEM
 
Utafiti unaonyesha waliozaliwa kwa njia ya mchepuko hupenda kujikweza bila busara , hekima wala adabu . Mfano mzuri ni huyu anayejiita le Mutuz na nepi

Ni kweli Huyu kubwa jinga alizaliwa kwenye mchepuko wa dingi yake, tusimlaumu sana Huyu, alaumiwe dingi yake,
Huyu jamaa amemzidi umri mama yake wa kambo (Anne Kilango) ambae ndio anaishi nae, yeye kila siku party, wakati Banda la mbwa wangu ni bora Mara mia moja ukilinganisha na nyumba anayoishi mama yake mzazi (mchepuko wa babake) kijijini.


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo maana hata serikali ilimshinda wakati akiwa waziri mkuu mpaka akajiudhuru wadhifa wake ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa wanaopenda kulazimisha mambo hata kama hayana maana yapite.
Kweli unatumika ka ndomu. Hivi ingemshinda ka usemavyo wangempa mchakato wa katiba . Huyo jk anaeweza katufikisha wapi? Tujitambue Watanganyika liduva liniswa
 
Niliwahi kumuuliza tena William alikuwa akiishi kwenye mapipa ya taka!Ona hicho kiingereza alichotumia I doubt kama hakuwa akiishi in one of the parks na mizigo yake.
 

- Reasonable mimi naunga mkono Muungano kwanza, mengine yote baadaye ila la msingi ni kwamba sikubali mawazo ya aina yoyote ya kuvunja Muungano,

Le Mutuz System
 
Mimi warioba hanishangazi sana siku zote ni mtu wa hila na kupenda sifa bandia....muulize mwinyi na wassira wanamjua warioba

Warioba nimtu mkweli asiyena mawazo Mgando Kama alivyosema Jana, aliyeamua kufa bila mzigo wa dhambi.Sikuzote Ccm ukiwa mkweli utaonekana mhaini,msaliti,mchonganishi nk.Mlishazowea akina Wasira wanafiki walafi kazi kujaza matumboyao.Sintashangaa kusikia eti ametumwa na Cdm
 

- Kaka umesikia tetesi kwamba utakuwa mwandishi wa Rais Lowassa akiwa Rais, ha1 ha! ha!

Le Mutuz system
 

hamuwezi kushindana na nguvu ya uma serikari 3 haiepukiki kamwe,
 
Niliwahi kumuuliza tena William alikuwa akiishi kwenye mapipa ya taka!Ona hicho kiingereza alichotumia I doubt kama hakuwa akiishi in one of the parks na mizigo yake.

- duh! yote haya kwa sababu sina mawazo kama yako kaka? ha! ha! ha1

Le Mutuz System
 

- Kaka umekuja kumjibu mtu asiyekuwa na akili timamu sasa unakuweka wapi hiyo kaka?

Le Mutuz System
 
Ona unavyopenda kudandia mambo!rafiki yako anatoa misaada wewe unataka ukaonekane kwenye kamera,Kwa nini hukuanzisha hiyo idea wewe?Unapenda kuzamia matukio kama vultures(Tai)!Kama ni kina Davis walishatafuta maisha yao fuata yako mkuu!
 
Hahaaa.....maswali mazuri sana haya kwa huyo le mutuz..anamuaibisha sana Mzee wetu John Malecela; anamwaibisha pia dada yetu, Mwelecele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…