Ndiyo maana hata serikali ilimshinda wakati akiwa waziri mkuu mpaka akajiudhuru wadhifa wake ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa wanaopenda kulazimisha mambo hata kama hayana maana yapite.
- Unajua ni makosa makubwa sana kujibu mada ambayo hujaielewa ndio matokeo yake unajionyesha mwenyewe kwamba ni akili yako mwenyewe ndio ndogo soma tena mada kabla ya kujibu kaka!!
- Halafu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ungakuwa mkubwa ungeelewa kwamba hakuna mjumbe yoyote wa Tume ya Rasimu anyehangaika zaidi ya Warioba tu WHY?
Le Mutuz System
The Mutuz, tatizo kubwa la wajumbe wa katiba wa mtazamo wako wameacha kuongelea agenda zilizopo mezani na kuanzisha agenda mpya. 1. Kuvunja muungano,2. Warioba.3. Kuleta vita. Hizi ndo agenda mpya zilizoanzishwa na kuchangiwa sana na wajumbe wa dini mpya 'waumini wa serikali 2'. Kwa personal attacks zinavyo fulumushwa kwa mzee warioba ni lazima na yeye ajitetee. Platform ya kujibia hizo tuhuma mpya anazorushiwa bunge la muungano liliiondoa pale lilipo kataa wajumbe wa tume mwisho wao ni siku watakapo wasilisha ripoti, sasa akasemee wapi? Mh. Makamba aliandika kwenye fb page yake kuwa watatumia wingi wao 'ccm'kulinda muungano. Hilo ndo tunalo liona linatokea hakuna pointi bali ni vijembe, matusi, kebehi na vitisho kwa sana. Hayo yote hayatalijenga taifa kabisa. Kama sampling ya watu elfu 17 kutoka kona mbali mbali za tz inakataliwa basi ya watu 400 wenye malengo na mtazamo mmoja ndo haifai kabisaBasi tu simu yangu haina kitufe cha kulike, sometimes unatema ishu bila kuegemea upande wowote, unaongea fact tupu.
nimekusoma mkuu wangu pamoja na kuwa miruzi mingi humpoteza mbwa lakini acha twende hivyohivyo tu.Mkuu Matola usiwe na hofu kabisa! !!!
Jukwaani hatupandi wananchi wote ila imefika muda wa kujulishana kuwa despite watu wapo kimya ila uelewa ni mkubwa sana sasa hili halitimii mpaka washindwe woooote kwa njia zote tena kwa hoja ili ukweli udhihiri na objectivity iwe norm of the day! !!!!!
Nchi imekuwa too political hata kwa yanayohitaji ujuzi,hatuwezi kwenda mbele so acha zijae thread ili mawe yote yageuzwe "unapopewa mchele kidogo ndani ya ungo mkubwa uwezekano wa kuona chuya na mawe huongezeka, acha thread zije mkuu"
Umeandika uzi mrefu pasina umuhimu. Huyu mzee kwanza anahisoria kubwa barani Africa hivyo wapaswa kumuheshimu na kalitumikia taifa hili vema. Pili huyu mzee anachofanya ni kutoa ufafanuzi wa baadhi ya mambo muhimu kama anavouliizwa na media.
Huyu demu Faizafoxy anakuzimikia sana wewe hujui tu.
Mtafute umtimizie haja ya mtima wake!
Warioba yeye lengo lake ni kuvunja nchi halafu matakwa yao yaweze kutimia kadri wanavyotaka na jamaa zake japo siamini kama atafanikiwa katika hili huwezi kusema maoni ya wananchi halafu ukaendelea kuwasemea watu wenye maoni yao.
huyu mzee anachoshangaza ni kitendo cha kusema watanzania wanataka serikali tatu wakati wapo wanataka serikali mbili na wengine moja lakini pia wapo wanataka mkataba yeye hili hitimisho la serikali tatu kalito wapi.
Sina haja ya kusoma kila ulichoandika maana maudhui yako yalilenga kwenye kutuonyesha kuwa wewe ni MWANDISHI wa Gazeti la JAMBA LEO!... inawezekana wenzio hawakuambii ukweli; mtazamo wako na aina hii ya uandishi kamwe huwezi kulipaisha JAMBA LEO bali unaiangamiza kwani hata wale wapenzi wa udaku watalikimbia soon...
Warioba mimi nampuuza tu kama ninavyowapuuza watu wengine wenye malengo ya kuingiza nchi kwenye matatizo kama anavyofanya warioba.
Naona kama siku zote tu hufanyavyo, huna point :wave:
Warioba yeye lengo lake ni kuvunja nchi halafu matakwa yao yaweze kutimia kadri wanavyotaka na jamaa zake japo siamini kama atafanikiwa katika hili huwezi kusema maoni ya wananchi halafu ukaendelea kuwasemea watu wenye maoni yao.
huyu mzee anachoshangaza ni kitendo cha kusema watanzania wanataka serikali tatu wakati wapo wanataka serikali mbili na wengine moja lakini pia wapo wanataka mkataba yeye hili hitimisho la serikali tatu kalito wapi.
- mkuu unaonekana upo sober sana please tell me wewe umewahi kuona wapi somthing like this, yaani kila kukicha warioba yupo kwenye media kupingana na wasio na mawazo kama yake, i mean this is strange warioba ameongoza kamati nyingi sana na zote hakuna hata moja iliyowahi kutekeleza aliyokusanya lakini hajapiga kelele why this one? Kuna nini hasa behind all these?
- i mean ninarudia tena kwenye criminology tunasema kuna something bigger that what we are seeing what is that?
Le mutuz system
Acha unafiki jibuni hoja za Warioba, tatizo lenu hamjui kuwa kila walichokikusanya tume ya Maoni ya katiba Rais alijulishwa hata hizo draft zpte alizibariki akiwa kama mtu aliyeteua tume hivyo ailieajibika kwa JK. Tuache siasa uchwara zisizo na nidhamu kuwatukana watu wazima ambao wameongoza nchi hii kwa nidhamu kubwa.