Warioba Anataka Nini Hasa?

Serikali mbili ni mafanikio sana kwako. Ndiyo maana hulalamiki.
Kwa hili naona unatofautiana na Jakaya wetu?!

Mimi namwomba WJM anisaidie kujibu haya atakapokuwa anaandika makala yake kwenye JamboLeo ya Jumapili ijayo:
-Katiba ya JMT haikuvunjwa na yale mabadiliko yaliyofanywa kwenye Katiba ya Zanzibar mwaka 2010 na Jakaya wetu akakaa kimya?
-Bunge la Jamhuri ya Muungano lilichukua hatua gani baada ya kuona mlinzi namba moja wa Katiba ya JMT kakaa kimya?

-Kuna uwezekano wowote wa kuirekebisha Katiba ya Zanzibar ili iondoe marekebisho yale ya 2010?
 
Warioba mimi nampuuza tu kama ninavyowapuuza watu wengine wenye malengo ya kuingiza nchi kwenye matatizo kama anavyofanya warioba.

Na mimi nakupuuza wewe na upuuzi wako unaotaka usikilizwe ptuuuu!!!
 

Mzee Warioba ni kichwa na anaona mbali kuliko wazee waliosalia kama Mzee Baba yako Malecela wanafiki
 
Serikali mbili ni mafanikio sana kwako. Ndiyo maana hulalamiki.
Kwa hili naona unatofautiana na Jakaya wetu?!

Mimi namwomba WJM anisaidie kujibu haya atakapokuwa anaandika makala yake kwenye JamboLeo ya Jumapili ijayo:
-Katiba ya JMT haikuvunjwa na yale mabadiliko yaliyofanywa kwenye Katiba ya Zanzibar mwaka 2010 na Jakaya wetu akakaa kimya?
-Bunge la Jamhuri ya Muungano lilichukua hatua gani baada ya kuona mlinzi namba moja wa Katiba ya JMT kakaa kimya?

-Kuna uwezekano wowote wa kuirekebisha Katiba ya Zanzibar ili iondoe marekebisho yale ya 2010?
 
na jumatatu ijayo anaendelea kwenye dakika 45, mtamkoma. labda mfanye kama mlivyomfanya dr.
 
narudia tena i hate watoto hawa wa viongoz
 
wakati interahamwe wanamtukana bungeni mbona hamkuhoji hayoo?
 
Mbona chadema walifanya mikutano ya hadhara karibu nchi nzima kueleza wanachama wao na wapenzi wao nini wanachotakiwa kusema.hilo warioba hakuona..?
 
Ndugu yangu kila mtanganyika anayejua kusoma na kuandika kiswahili (asilimia 78) wanajua vizuri huu msumari wa moto (marekebisho ya katiba ya 2010) kwa ustawi wa Tanganyika hata Ole Sendeka ila ushabiki wa usimba na uyanga ndio unatupumbaza. Hebu tuache unafiki sasa. Mfano kwa nini JK achaguliwe na Wazanzibar wakati hatambuliki Zanzibar. Kwa nini JK awe small boy Zanzibar katika sherehe za Kizanzibari, kwa nini maamuzi ya Bunge yapate baraka katika BLW wakati katika bunge hilo hilo lina wawakilishi wengi sana toka Zanzibar (ukilinganisha ukubwa wa majimbo) na hata BLW lina mwakilishi wake. Kwa nini Mawaziri wote wa fedha ni wazanzibari etccccccccc
 
W.J.Malecela kwa maelezo yako hapo juu ole wenu tusikie "WARIOBA KAFA",Hapo patachimbika ndani ya nchi hii sababu mmezoea upuuzi wa kila mwanaCCM kuimba wimbo wa kijinga hata kama hauna maslahi kwa wanananchi.MLITAKA MUIPOTOSHE RASIMU KWA WATANZANIA HUKU WARIOBA AKAE KIMYA?TAMBUA HUYU NI MWENYEKITI WA ILIYOKUWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA NA ANAONGEA KWA NIABA YA TUME!
 

Hivi kumbe Tanzania ina watawala, mi nilidhani ina viongozi!
 
Mimi warioba hanishangazi sana siku zote ni mtu wa hila na kupenda sifa bandia....muulize mwinyi na wassira wanamjua warioba

Wote hao ulo wataja c wala rushwa wazur tu ndo maana wanamjua warioba kuwa ni mwadilifu anachukia rushwa
Wasira alikamatwa na rushwa enz hzo yuko NCCR akafungiwa kugombea kipndi hcho aligombea na Warioba
Mwinyi ni mzee wa ruksa unafikir rushwa iliibukia wap ka sio enzi zke
Muulze mzee kingunge ndo anamjua vzr Warioba ndio maana anawakemea watu kama nyinyi muache kumkashifu yle mzee Warioba
 

Kumbe Warioba anatakiwa aishi milele? Nilikuwa sina taarifa wakuu!! Hivi Warioba kumbe hana taarifa kama Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilishavunjwa?
 
Eti usikose kusoma gazeti la JamboLeo,,Nani mwenye akili timamu asome gazeti la JamboLeo?Hilo gazeti labda unipe nikafungie vitumbua vya kunywea chai.
 
jibu swali acha ujinga,halafu kuna jamaa pale juu kasema unatembea na noah ukipiga mziki mkubwa je kweli?kwanza sitaki kuamini

Ni kweli lina noah fulani hivi lina machata ya kumwaga na huwa linapiga mziki kama limbukeni fulani
 
Kama unaweza kusoma nyakati na wwe ni mwana CCM najua u can see somthing coming ahead na nawahakikishia Mapinduzi yatakayotokea yatakuwa makubwa kuliko yale ya kumwondoa sultani Zanzibar.
 
-
- Halafu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ungakuwa mkubwa ungeelewa kwamba hakuna mjumbe yoyote wa Tume ya Rasimu anyehangaika zaidi ya Warioba tu WHY?

Le Mutuz System

Ungemalizia kwa kusema na ndie Mjumbe wa tume anayetukanwa kuliko wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…