You need not to be told, it is nothing than a 'promo'. Naona wanapata shida sana kujitangaza, na bora watengenezewe websit yao ili ieleweke kuwa sasa kujiuza ni rasmi
Wanatamani sana kutembea uchi kabisa ila sheria inawabana hasa ile ya watu kuchukua sheria mkononi.Wanapenda watuoneshe kila kitu mpaka uvunguni.....!!!hii ndiyo fahari yao