Warembo wasome hapa tafadhali

Warembo wasome hapa tafadhali

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Nimeogopa sana na kusikitika baada ya kupokea taarifa kuwa mwana mama mmoja alikuwa salon ktk matumizi ya draya gafla akajiskia vbaya kupelekwa hospital wakagundua fuvu lake limepasuka kwa sababu ya ule moto,na hivi sasa ni marehemu R.i.p
 
Yana ukweli haya? Dr kathibitisha kifo chake kweli kimetokana na huo moto wa drier? Au alikuwa na maradhi mengine ndo yakaamkia huko saluni?
 
Oh my god !!
Kwani kifo hupiga hodi?
Wakati ukifika, Kifo hakisubiri dakika yalo bakia ni sababu......
Mungu amrehemu na siye atupe rehema.
 
Duh aisee hii ngumu kumesa hii aiseeeee.....

Ngoja ntarudi baadaye.....
 
Khaaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sidhani kama hii ina ukweli wowote... Yani drier iunguze hadi kupasua fuvu wakati ngozi na nyama vilikuwa havijaungua! Nimechemsha sana supu, najua nyama zinaiva kabla mifupa haijalainika...
 
Source ni mtaani kwenu? Umenikumbusha enzi babangu anapiga vita tusiweke relaxer (kitu cha revlon kinaunguza balaa). Alikuwa anatutishia kuwa umeme ukikatika drier inazima kwa kubana kichwa hadi kinapasuka. Kha!
 
Kuhusu 'anzaga'? Nipashe tu ndugu yangu
Za jioni,kwa elimu nilonayo tunapo zungumziya God !!
(God ni limited power) kwa hiyo kuna God wa kila aina na kila dini km(wahindi wanaGod wao/Mabudha wanGod wao/others pia wana Godi wao) Lakini hawa ma God huwa wa kujitungia tu na huwa wanamwisho wao. Ila Mwenyezi mungu ni " Allah " ni moja tu.
Haiwezikane kumfananisha na chochote. Allah ni muumba wa kila kitu.
Uadhama wa Allah somo peke tunaweza kulitafakari na kulichambua kwa kirefu zaidi.
wish you Good luck.
 
Sidhani kama hii ina ukweli wowote... Yani drier iunguze hadi kupasua fuvu wakati ngozi na nyama vilikuwa havijaungua! Nimechemsha sana supu, najua nyama zinaiva kabla mifupa haijalainika...

Hili nalo neno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom