Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

I think unakua desperate sana. usionyeshe unahitaji sana au una haraka sana.
 
Kijana wa kiume hutakiwi kusikitika,ukiamua hata leo kuoa unaoa;swali la kujiuliza je unaoa mtu wa namna gani?Weka maisha yako sawa,watakuja na wewe utawakimbia.
 
Mimi hapa ni pm ila hii tu weekend baada ya hapo mimi nipo busy
 
Mkuu hauna Pesa, ebu tafuta Pesa watajileta tu!
 
Tafuta pesa utapendwa.

Hata Diamond Platnumz kabla hajawa na pesa alichezea sana vya mbavu ila baada ya kuzipata sasaaaaaaa..........
 
Nimepitia michango ya wadau humu nimegundua na wao hawajalijua tatizo lako.

Mkuu mbali na elimu, kipato na mwonekano, ambavyo bila shaka umekidhi, wanawake hupenda mtu mwenye mtazamo, mtu ambae kauli zake zina mashiko, kitu pekee ambacho mimi nafikiri ndicho unachokikosa na ndio kinachopelekea wewe ku-suffer kiasi hiki.

Ingelikuwa inawezekana ningelikushauri wakati uko na girlfriend mnapiga stori zenu, urekodi mazungumzo yenu halafu unitumie nisikilize ama tusikilize ili kosa lijulikane/libainike.

Hebu jitafakari upya mkuu kisha fanya mabadiliko.
 
Wew ni Mvulana au Mwanaume?


Ukipata jibu jiongezee kitu kingine kichwan kuwa Wanawake wanapenda Caring kuliko pesa,lkn pesa hunogesha caring hivyo lazima iwepo ya wastani!
 
Inawezekana jamaaa siasa nyingi badala ya vitendo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwenye signature yako umeandika "Only GOD can"
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…