hawa warembo wa kichaga na hawa watoto wa kagame wanaonekana kuwa warembo kweli kweli.
nina ndoto za kwenda kilimanjaro kutafuta karembo huko.
lakini nina ndoto za kwenda luanda kutafafta mtoto wa kagame.
binafsi hawa warembo naona wako na mvuto kweli.
sasa tuache yangu.
je kati ya hawa ni wapi wanaonekana kuwa lulu zaidi mbele ya macho ya wanaume?
binafsi nishashindwa kupata hitimisho.
Luanda ipo Angola mkuu
kwi.kwi.kwi..JF bana, dah.... jamaa hajui hata kusema Rwanda atapata kweli huyo mrembo. Kwa wachaga atakaua anafata mali tu huyu.
Jf imevamiwa kweli kweli,hiyo mada yako ungepeleka kwenye blog za kichaga,pili punguza ujinga la sivyo utabakwa,,,jadili mambo ya msingihawa warembo wa kichaga na hawa watoto wa kagame wanaonekana kuwa warembo kweli kweli.
nina ndoto za kwenda kilimanjaro kutafuta karembo huko.
lakini nina ndoto za kwenda Kigaali kutafafta mtoto wa kagame.
binafsi hawa warembo naona wako na mvuto kweli.
sasa tuache yangu.
je kati ya hawa ni wapi wanaonekana kuwa lulu zaidi mbele ya macho ya wanaume?
binafsi nishashindwa kupata hitimisho.
Yaan unalinganisha warwanda na wachaga hhhhhhaaaa
Wachaga ni Samsung flat screen 42''