baby nilikuangalia tu jana yani uliniboa nilitaka nikukule nyama ... nataka laki tano yangu
baby kwa sasa nimefunga na nikifunga huwa sitoi pesa kabisa mpaka wiki ijayo dear
Labda mwombe mshana jr kama anaweza kukukopesha
hahaha mi ndo miss wa ukweli miss chagga amefoji vyeti
"The Real Housewives of JF".
Think like a man act like....:A S 11:
Tatizo ndo linakuja hapa. Huwezi kufikiri kama mwanaume then uwe na mawazo ama ufikiri kama mwanamke, si itakuwa balaa? We angalia wanawake, wao kila kukicha ni kutafutiana mabifu na majungu ya kijinga pasipo maendeleo. Fikiri kama mwanamme ila uwe na huruma wa kike kwa wanaume haswa mimi.
Hao ni miss chagga ntu fulani hivii....
Nilijua tu utamchokonoa huyu mtani wangu Khantwe
Matege unanitafutia kesi nyingine ujue
mirembe hamjambo mtani??? maana dada yangu miss chagga hajanipa mrejesho wa hali yako
Wanagombea nini kwanza MSHANA?