ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
ndo nimekuja kuna nini tena huku bestito
Natamani charming lady na ladyfurahia watie mguu huku
Natamani charming lady na ladyfurahia watie mguu huku
Nina haka kapicha kako jamaniView attachment 179431
waooooooooooooooo! umeipata wapi hii picha wewe au ulinifotoa wakati bday yangu?
hebu nirudishie mwenyewe kwani nimeitafuta kwa album yangu kumbe unayo wewe?
bestito pls irudishe kabla sijakusemea kwa mama
hahahahaaaa urembo ulianza muda sana kumbe hii picha ulinipa wakati ulee ukasema ni dhawadi yangu eti
Sikukupa bhanaaa ulichukua bila idhini yangu ukanilaghai na kusema toto zuri nipe hiyo
ndo nkakupa sasa hapo nini? Hebu ilete au nipe negative yake nkasafishe stuidio.