majungu gani sasa wakati 95% ya wazawa wa arusha wameoza meno?? hao wamekulia arusha tena wakiwa wakubwa ndo wamekuja arusha ila wangezaliwa Arusha lazima meno yawe machafu,
majungu gani sasa wakati 95% ya wazawa wa arusha wameoza meno?? hao wamekulia arusha tena wakiwa wakubwa ndo wamekuja arusha ila wangezaliwa Arusha lazima meno yawe machafu,
Sijakuelewa manake unantajia wachaga wa moshi Bt kaa ukijua happy ni msukuma..mbongo kukaa China sio kwamba nae kabadilika kawa mchina umeelewa..Bt magese is a pure sukuma andamana..
Pia naomba tufunge huu Uzi manake hauna tija na hautusaidii kwa lolote ndugu yangu wa arusha..au unabenefit anything from warembo wa arusha?waliohamia Dar wote?na ukiwaambia wanatoka arusha watakukana manake washakua wadaslam..