Warembo wa Arusha Town!

Warembo wa Arusha Town!

Sister..ile nakuna..,nakunwa nani napata rahaaaaaaaaaaaa???!

usafiri unauficha na jeans .....sura unaificha na nini?..........hafu kwenye naniliii hauangalii usafiri kitu face to face.....
 
aisee wa dar wamefunikaaa,wa arusha preta yake:tape2:
 
attachment.php
hawa ndio warembo wa ARUSHA TOWN Zinduna

jamani mtoto kaumbika huyu acha tuu.....
 
acheni kudhalilisha watu wa Arusha. Hawa mliowapost hapa ni wahuni tu wa mjini wanaovizia wazungu ili waishi.
Arusha ina warembo wa nguvu na wako busy kulijenga taifa sio hawa red district twilight ladies.
 
Mkuu THEDEALER nakwambia huyu Zinduna amekosea kwa sababu moja tu ila kwa sasa siseme!

Eti hao ni warembo wa A town??
Passion Lady
Loner
sweetlady
Meljons
hebu kujeni kipande hiki haraka jamani tuyakanushe yanayoonekana hapa juu!

beauty.jpg
nimewaangalia sana mnavyoponda!
haya sasa passion lady
nimekuja,hapo sijajikoroga
wala nn,mtt natural beauty
huo ndio uzuri na urembo wa mtu
sio mtu unajikoroga thn unajifanya mzuri!
arachuga warembo wapo wa kumwaga
halafu wewe kiwatengu nakupimia tu!!
i love u Ruttashobolwa lol!!!

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ngoja niendelee kuiwaza hii picha. nimewaza mengi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom