ndo nilikuwa na-attach lakini mmmmh! nimebadili mawazo, labda unihakikishie hutanitaja, na wewe naku-block PM as soon as nakutumia hiyo picha.................... Deal?Fixed Point; Fasta fasta . . . Iwe full . . . lol
ndo nilikuwa na-attach lakini mmmmh! nimebadili mawazo, labda unihakikishie hutanitaja, na wewe naku-block PM as soon as nakutumia hiyo picha.................... Deal?
shkamoomkuu fixed point, kama ulivyoona, sitaji majina ingawa karibu 50% ya wengi wanawafahamu binafsi.
Na mimi nimo nimo . . . Lol
irushe baadae baadae kidogo, ukiirusha saa hizi watu wanaweza kuhisi. ThanxMarahaba . . . nimeshaipata kwenye PM. sasa nairusha . . .
naona watu wamejaa kwenye hii thread lakini hawachangii, hii inaonyesha jinsi watu wanavyo-admire uumbaji kimya kimya. Big up Allien
Angalizo: wengine wapo vitandani na wake zao lakini macho yamekodolewa kwenye huu uzi......................... ukigundulika hapo....................... shauri yako