Warembo punguzeni dharau huyu kaumbuka sasa

ndiuka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Posts
699
Reaction score
825
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi nakata tiketi mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu nikamuita ili nimweleze kilichotokea, akanisonya tena msonyo wa dharau.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu; wala sikuizima.

Nafika town simu ile ikawa inaita nikapokea .... haya ndo yakawa maongezi yetu.

Mdada: Hallo habari yako?

Mimi : Nzuri, nani wewe?

Mdada : Mimi ndo mwenye hiyo simu

Mimi : Na mimi ndo nilokuita pale stand asubuhi leo ukanisonya

Mdada : Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane

Mimi : Nitakwambia baadaye .. (nikakata simu)

Swali ni je nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?
 
Simu za siku hizi zina soo Mpe simu yake.
 
ndiuka ipeleke polisi maana atakugeuzia kibao kuwa ulimpora pochi na simu. angalia usije ukawa kama yule dereva taksi aliyeandika barua toka jela
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi nakata tiketi mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu nikamuita ili nimweleze kilichotokea, akanisonya tena msonyo wa dharau.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu; wala sikuizima.

Nafika town simu ile ikawa inaita nikapokea .... haya ndo yakawa maongezi yetu.

Mdada: Hallo habari yako...??

Mimi : Nzuri, nani wewe ...??

Mdada : Mimi ndo mwenye hiyo simu

Mimi : Na mimi ndo nilokuita pale stand asubuhi leo ukanisonya

Mdada : Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane

Mimi : Nitakwambia baadaye .. (nikakata simu)

Swali ni je nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake........?
 
Mpe tu kamchina kake. Haina haja...
Mara nyingi watu wanaolimbukia vitu iwe gari,kazi, au mali yoyote ile historia zao njins walivyopata hvyo vitu znatisha
 
Ukimpa simu nitakuona boya sana.

ni lazima alipie dhambi yake.
Usimpe simu mpaka umpakue ili fundisho kwa wengine.
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi nakata tiketi mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu nikamuita ili nimweleze kilichotokea, akanisonya tena msonyo wa dharau.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu; wala sikuizima.

Nafika town simu ile ikawa inaita nikapokea .... haya ndo yakawa maongezi yetu.

Mdada: Hallo habari yako...??

Mimi : Nzuri, nani wewe ...??

Mdada : Mimi ndo mwenye hiyo simu

Mimi : Na mimi ndo nilokuita pale stand asubuhi leo ukanisonya

Mdada : Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane

Mimi : Nitakwambia baadaye .. (nikakata simu)

Swali ni je nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake........?

Mpe simu yake usishiriki upuuzi wake.
 
Huyu mdada nafikiri ulipomuita alidhani unataka kumtongoza. Nafikiri hivyo lakini. Niwaambie tu akina dada, hata kama mtu akikuita kwa lengo la kukutongoza- wewe muheshimu mwambie samahani wewe siyo mtu wa tabia hizo kisha ondoka. Kumsonya mtu kwa hisia za kutongozwa ni kujibu au kutenda baya kwa baya. Kijamii na kiroho tunashauriwa kutenda jema kwa baya.
 
Back
Top Bottom