Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Achana na mtoa mada, ndio zake kukuza mambo na kukatisha tamaa watu waone mambo fulani hayawezekani wakati ni marahisi tuKama ni hivyo ninazo za kutosha na muda pia ninao wa kutosha.

Karibu.Achana na mtoa mada, ndio zake kukuza mambo na kukatisha tamaa watu waone mambo fulani hayawezekani wakati ni marahisi tu
Labda kwa yeye hali ndio iko hivyo, shughuli zake zinamkosesha mufa wa kuenjoy maisha.Achana na mtoa mada, ndio zake kukuza mambo na kukatisha tamaa watu waone mambo fulani hayawezekani wakati ni marahisi tu
Hao wa hivyo wengi hawana nguvu za kiume mangi! Ndio akina Kapuya hao au kina late Mengi. Inshort miili yao inakuwa ishachakaaSijui kiwango gani cha hela ukiwa nazo ndio unakuwa na pesa.. Naweza sema nina pesa kumbe sijafikia kiwango cha kuwa na pesa...
Muda ninao, ila pesa sina uhakika walai..
.
Nadhani pia mtoa mada kahukumu vibaya, kuna watu wana pesa na shughuli zao sio za kukosa muda 24/7
Heheheh bibie muda umekuwa finyu mambo ni mengi, mzee amesema hii sio awamu ya raha, hata mkewe hampi raha. Sasa mi nawewe ni akina nani mpaka tule raha?Jambo lolote hata liwe zuri kiasi gani ukikosa kuwa na kiasi ni tatizo...hata uwe busy kiasi gani haitakiwi ukose kabisa muda wa kuspend na wale uwapendao, hata kama mnapata nafasi mara moja kwa mwezi nafasi hiyo inatakiwa itumike effectively, hata hivyo ni kazi gani hizo mtu usipate hata muda wa kurelax? Umepewa jukumu la kuipeleka tz uchumi wa kati wewe peke yako?
Hahahahahaaaaa! labda amepewa jukumu hiloJambo lolote hata liwe zuri kiasi gani ukikosa kuwa na kiasi ni tatizo...hata uwe busy kiasi gani haitakiwi ukose kabisa muda wa kuspend na wale uwapendao, hata kama mnapata nafasi mara moja kwa mwezi nafasi hiyo inatakiwa itumike effectively, hata hivyo ni kazi gani hizo mtu usipate hata muda wa kurelax? Umepewa jukumu la kuipeleka tz uchumi wa kati wewe peke yako?
Unaskia wadada wana compliment kwa mwenzao hivi jamani nyie wakaka romantic and loving namna hii wanapatikanaga wapi?
You women have choices to make in life mjue.
Unahitaji jamaa awe ana cling to you kama hereni na sikio kila mahali upo naye, he gives you all his time of the day akupe nafasi full. Anakudrive mnaenda site pamoja, shopping ama biasharani pamoja. Raha ilioje? Ina gharama zake hii! The man has no activity ya kujitaftia obviously so utajikuta unachopata wewe ndio mnashea it might make you happy or sad as well.
WHILE,
Unakuta jamaa mwengine yupo extremely busy, mtu wa mishe kibao hivi, anasafiri safiri labda. Yuko on a very demanding routine ya kazi. Ndio mshakuwa wapenzi au mke na mume ila hana muda na wewe kabisa ila uhakika wa mipunga upo kwa ajili yako na wenzako kama wewe. Unakuta mwanamke analalamika ooh jamaa hanijali yani mwanaume malaya huyu. Nyie watu kila kitu kina gharama zake mjue mwanaume mwenye pesa obviously wengi hawanaga muda wa kugandana na wapenzi coz wanawake wengi wanawahitaji.
Choose wisely, unataka furaha ya mapenzi au pesa? Epuka kulia lia mbeleni na kuita watu majina mabaya bila sababu maana vyote kuvipata pamoja ni ishu.

♀️
♀️
♀️
♀️Ni kweli kabisa. Nilishawahi kuwa na mtu alikuwa busy hatari....siku kama mimi niko free ananiambia njoo mjini tupate lunch pamoja. Nikifika pale naweza kusubirishwa hata lisaa ila mwisho wa siku tunapata hata nusu saa ya kuwa pamoja. Na baadhi ya safari za kikazi alikuwa anataka twende wote ila mimi sikuwa nataka tumwanaume mwenye pesa zake anapenda na anatoa mda wake vzur tuu kila anapopata nafasi...ukiona unapata mda na hujamcheki mpenzi ako ujue hujapenda.
Wadada someni kitabu kinaitwa power of pussy.
Ukipendwa kweli hata ratiba ibane vipi utatafutwa tuu hata hizo dk 5.
Ila uwongo wa kusema mtu yuko busy mbaka akupigii hata cm siku nzima au siku mbili ni unafiki ujue ujapendwa wewe sio chaguo lake.
When a man loves hakuna lisilowezekana wajubaa.
Nilishakuaga na mtu yuko busy nakumbuka alivokua akijitahidi kunichek tuonane kila akiapata mda sasa kuna hizi mbuz zinadai ziko busy sanaaa hakutafuti wiki nzima Looh wadanganyeni watoto.
Halafu analazimisha kila mtu yuko hivyoLabda kwa yeye hali ndio iko hivyo, shughuli zake zinamkosesha mufa wa kuenjoy maisha.

Hii ni both sided pia, mwanamke akikupenda yupo radhi hata kugombana na wazazi wake atatoroka aje kuwa na wewe tu.mwanaume mwenye pesa zake anapenda na anatoa mda wake vzur tuu kila anapopata nafasi...ukiona unapata mda na hujamcheki mpenzi ako ujue hujapenda.
Wadada someni kitabu kinaitwa power of pussy.
Ukipendwa kweli hata ratiba ibane vipi utatafutwa tuu hata hizo dk 5.
Ila uwongo wa kusema mtu yuko busy mbaka akupigii hata cm siku nzima au siku mbili ni unafiki ujue ujapendwa wewe sio chaguo lake.
When a man loves hakuna lisilowezekana wajubaa.
Nilishakuaga na mtu yuko busy nakumbuka alivokua akijitahidi kunichek tuonane kila akiapata mda sasa kuna hizi mbuz zinadai ziko busy sanaaa hakutafuti wiki nzima Looh wadanganyeni watoto.
Hana muda na mimi kabisa?? Yaani kabisa? Hayo mapenzi tunafanyaje sasa
Ukweli mtupu hapo. Mwanaume nina mihela kwa nini nisigegede waremboUnaskia wadada wana compliment kwa mwenzao hivi jamani nyie wakaka romantic and loving namna hii wanapatikanaga wapi?
You women have choices to make in life mjue.
Unahitaji jamaa awe ana cling to you kama hereni na sikio kila mahali upo naye, he gives you all his time of the day akupe nafasi full. Anakudrive mnaenda site pamoja, shopping ama biasharani pamoja. Raha ilioje? Ina gharama zake hii! The man has no activity ya kujitaftia obviously so utajikuta unachopata wewe ndio mnashea it might make you happy or sad as well.
WHILE,
Unakuta jamaa mwengine yupo extremely busy, mtu wa mishe kibao hivi, anasafiri safiri labda. Yuko on a very demanding routine ya kazi. Ndio mshakuwa wapenzi au mke na mume ila hana muda na wewe kabisa ila uhakika wa mipunga upo kwa ajili yako na wenzako kama wewe. Unakuta mwanamke analalamika ooh jamaa hanijali yani mwanaume malaya huyu. Nyie watu kila kitu kina gharama zake mjue mwanaume mwenye pesa obviously wengi hawanaga muda wa kugandana na wapenzi coz wanawake wengi wanawahitaji.
Choose wisely, unataka furaha ya mapenzi au pesa? Epuka kulia lia mbeleni na kuita watu majina mabaya bila sababu maana vyote kuvipata pamoja ni ishu.
Wanawake ni wa kuwaongoza na viongozi ni Wanaume.Unaskia wadada wana compliment kwa mwenzao hivi jamani nyie wakaka romantic and loving namna hii wanapatikanaga wapi?
You women have choices to make in life mjue.
Unahitaji jamaa awe ana cling to you kama hereni na sikio kila mahali upo naye, he gives you all his time of the day akupe nafasi full. Anakudrive mnaenda site pamoja, shopping ama biasharani pamoja. Raha ilioje? Ina gharama zake hii! The man has no activity ya kujitaftia obviously so utajikuta unachopata wewe ndio mnashea it might make you happy or sad as well.
WHILE,
Unakuta jamaa mwengine yupo extremely busy, mtu wa mishe kibao hivi, anasafiri safiri labda. Yuko on a very demanding routine ya kazi. Ndio mshakuwa wapenzi au mke na mume ila hana muda na wewe kabisa ila uhakika wa mipunga upo kwa ajili yako na wenzako kama wewe. Unakuta mwanamke analalamika ooh jamaa hanijali yani mwanaume malaya huyu. Nyie watu kila kitu kina gharama zake mjue mwanaume mwenye pesa obviously wengi hawanaga muda wa kugandana na wapenzi coz wanawake wengi wanawahitaji.
Choose wisely, unataka furaha ya mapenzi au pesa? Epuka kulia lia mbeleni na kuita watu majina mabaya bila sababu maana vyote kuvipata pamoja ni ishu.
Kweli kabisa...maana sii unajua leo hamu ya msambwanda kesho hamu ya matiti makubwa ...basi unaenda na mood ya hiyo sikuLazma ubadilishe mboga kulingana na kipato chako.