Warembo chagueni moja basi

Warembo chagueni moja basi

Ukiwaelewa hao ujue unakaribia kufa..😂😂😂.

'Men' tufanye kulingana na uwezo wote.
dah, yani hawa wadude ni nux kinoma. Unaeza fikia stage usijue ushike lipi.
 
Watakuambia kulia kwenye vanguard ni nafuu kuliko kulilia kwenye bajaji
Hahahah akili za wanawake huwa fupi sana yani 😂😂😂!!! Sema mademu wenye njaa njaa ndio wako hivyo. Wao wanahisi hela ndio kitu wanakosa so watavumilia mistreatments zote as long as hela ipo.
 
Anataka umpe mda wako huku anahitaji pesa,ukisema umpe muda basi unapisha nadeal ya kukuingizia hela atalamika humpi hela,ukitafuta hela bado atalamika humpi muda/humjali.

Ila yote kwa yote kwa mwanaume cha msingi ni kutafuta hela.

Kwa kifupi hawajui wanataka nini.
Hahahaha kwahio heri lawama kuliko fedhea hapo. Umekamilisha msemo straight away.
 
Ndo ile "Wenzako wanajaza mimba we unajaza body" safi sana mzee baba ila mm naamini pesa ndo kila kitu Extrovert
Hahahahahah huo uphala sifanyi ese...Unashinda GYM huku wenzio wenye hela wanakuchilia mrembo.
 
Hana muda na mimi kabisa?? Yaani kabisa? Hayo mapenzi tunafanyaje sasa
Mapenzi ni mara moja kwa mwezi hivi tena ile quickie...kimoja cha fasta mtu anapita zake hivi! Hana muda wa kukubebisha kitandani.

Ila yule ambaye hana mishe ndie ana muda na wewe na ndie ambaye anaweza kukunyegeza kwa maneno matamu mkafanya romantic sex almost kila mda mkijiskia genye tu.

Unamchagua yupi sasa hapo?
 
Jambo lolote hata liwe zuri kiasi gani ukikosa kuwa na kiasi ni tatizo...hata uwe busy kiasi gani haitakiwi ukose kabisa muda wa kuspend na wale uwapendao, hata kama mnapata nafasi mara moja kwa mwezi nafasi hiyo inatakiwa itumike effectively, hata hivyo ni kazi gani hizo mtu usipate hata muda wa kurelax? Umepewa jukumu la kuipeleka tz uchumi wa kati wewe peke yako?
 
Wewe una muda au una pesa? Maana kwa mujibu wa mtoa mada huwezi kuwa navyo vyote viwili
Sijui kiwango gani cha hela ukiwa nazo ndio unakuwa na pesa.. Naweza sema nina pesa kumbe sijafikia kiwango cha kuwa na pesa...

Muda ninao, ila pesa sina uhakika walai..
.

Nadhani pia mtoa mada kahukumu vibaya, kuna watu wana pesa na shughuli zao sio za kukosa muda 24/7
 
Kama unapata mahitaji muhimu ya binadamu bila wasiwasi na ukaweza kuwapa na wengine mahitaji yao tunahesabu unazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom