Warembo chagueni moja basi

Warembo chagueni moja basi

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,152
Reaction score
190,680
Unaskia wadada wana compliment kwa mwenzao hivi jamani nyie wakaka romantic and loving namna hii wanapatikanaga wapi?

You women have choices to make in life mjue.

Unahitaji jamaa awe ana cling to you kama hereni na sikio kila mahali upo naye, he gives you all his time of the day akupe nafasi full. Anakudrive mnaenda site pamoja, shopping ama biasharani pamoja. Raha ilioje? Ina gharama zake hii! The man has no activity ya kujitaftia obviously so utajikuta unachopata wewe ndio mnashea it might make you happy or sad as well.

WHILE,

Unakuta jamaa mwengine yupo extremely busy, mtu wa mishe kibao hivi, anasafiri safiri labda. Yuko on a very demanding routine ya kazi. Ndio mshakuwa wapenzi au mke na mume ila hana muda na wewe kabisa ila uhakika wa mipunga upo kwa ajili yako na wenzako kama wewe. Unakuta mwanamke analalamika ooh jamaa hanijali yani mwanaume malaya huyu. Nyie watu kila kitu kina gharama zake mjue mwanaume mwenye pesa obviously wengi hawanaga muda wa kugandana na wapenzi coz wanawake wengi wanawahitaji.

Choose wisely, unataka furaha ya mapenzi au pesa? Epuka kulia lia mbeleni na kuita watu majina mabaya bila sababu maana vyote kuvipata pamoja ni ishu.
 
Anataka umpe mda wako huku anahitaji pesa,ukisema umpe muda basi unapisha nadeal ya kukuingizia hela atalamika humpi hela,ukitafuta hela bado atalamika humpi muda/humjali.

Ila yote kwa yote kwa mwanaume cha msingi ni kutafuta hela.

Kwa kifupi hawajui wanataka nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom