Warehouse gani inayouza bodi za magari dar

Warehouse gani inayouza bodi za magari dar

MinMash

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
373
Reaction score
160
salam,gari yangu aina ya Toyota hiace long body ilipata ajali na body yake imechanika chanika,so naomba kama kuna mtu anafahamu ware house wanakoiza bodi anielekeze tafadhari asante
 
Ukipita mitaa ya Temeke stereo kwenye yard za magari unaweza kupata. Pia, pita mitaa ya Ilala Boma wanakouza vipuri vya magari, ukiuliza unaweza kupata kirahisi tu.
 
Kiongozi nenda maeneo aliyosema bw.Idimi. Mimi nilipata baadhi ya "spares" za gari langu mitaa hiyo. Niliambiwa spare zozote zinapatikana mitaa hiyo, isipokuwa za ndege!
 
Back
Top Bottom