BW nilijua utaniokoa kumbe umenizamisha kwenye matopewasiliana na King'asti fasta...... wengine wanajidai kutania kumbe kweli
Kuwa upande wangu basi yaani nilikuwa nategemea Kongosho angekuwa upande wangu naye kanigeukaTF hivo CV yako ilikuwa bado nzima?.......lol!!! (daah mtakatifu wangu wa siku za mwisho unaniangusha)
Kuwa upande wangu basi yaani nilikuwa nategemea Kongosho angekuwa upande wangu naye kanigeuka
umeanza utapeli mimi siwezi kukupa sapoti kabisa....'umeniuzi'i kwanza
Kuwa upande wangu basi yaani nilikuwa nategemea Kongosho angekuwa upande wangu naye kanigeuka
The more you hate the more you love...ngoja nicheki na Bishanga atakuwa anahitaji vitu hivi vifuatavyo...Senene, Rubisi, Mwani, Omulamba...hapa lazima aniachie Koku...:eyebrows:umeanza utapeli mimi siwezi kukupa sapoti kabisa....'umeniuzi'i kwanza
The more you hate the more you love...ngoja nicheki na Bishanga atakuwa anahitaji vitu hivi vifuatavyo...Senene, Rubisi, Mwani, Omulamba...hapa lazima aniachie Koku...:eyebrows:
Khaaaaa!!! Koku haendi tena Form 5 nampeleka straight Stanford au Harvard University.....oa:eyebrows:akipokea hiyo 'hongo' yako, wewe na yeye nawashtaki kwa 'jamuhuri'
mmeghilibu mtoto, mmemnyima haki ya elimu, na mengine ntayafremu nihakikishe mnatiwa hatiani
BW nilijua utaniokoa kumbe umenizamisha kwenye matope
:lol::lol::lol:
kutokana na huo wosia anafaa kuwa mkwe wangu inabidi nianze kumkinga na matapeli nikianza na TF
Khaaaaa!!! Koku haendi tena Form 5 nampeleka straight Stanford au Harvard University.....oa:eyebrows:
:lol::lol:..Shauri zao ngoja Koku aje awagomee nyumbani ndipo watakaposhangaa chezeiyaaa........hahahahahah:hatari:
Wosia mzuri sana kwa Koku, mama Koku nae vp umempa amsomee mwanae?