Tetesi: Waraka wa watumishi wa CCM walioondolewa kazini kinyume na Katiba ya Chama

Status
Not open for further replies.
Watumishi wa CCM waliosimamishwa kazi pamoja na baadhi ya makatibu wa wilaya wameandika waraka wa siri kwenda kwa wazee wa chama hicho kuhusu hali ya chama. Katiba ya CCM inabakwa na Magufuli huku akimtuma kasuku wake Polepole kuongopa, amekuwa kituko.

-----------------
Sisi watumishi wa CCM pamoja na baadhi ya makatibu kati ya makatibu 76 wa wilaya na mikoa tulioondolewa kazini kinyume na katiba ya CCM na kanuni za utumishi wa CCM, tunaandika waraka huu wa majonzi kwa watanzania kuelezea hali ya kisiasa na kifedha ilivyo ya kutisha na kusikitisha ndani ya chama chetu tunachokipenda chama cha mapinduzi. Tunataka wana-CCM waamke na wafunguke macho na akili kwamba chama chao sasa kinaenda kupasuka na uhai wake upo hatarini. Tutaeleza sababu.

Uvunjifu mkubwa wa katiba ya chama

Chama chetu kimejengwa chini ya misingi ya kidemokrasia na ushirikishwaji. Misingi hiyo imewekwa ndani ya katiba ya CCM. Wakati mwalimu nyerere na mzee jumbe walipoamua kuunganisha vyama na kuunda CCM, liliundwa jopo la watu 20 mashuhuri nchini kutengeneza katiba mpya ya CCM. Hivyo ndivyo chama chetu kinavyotoa umuhimu kwa katiba. Pamoja na misukosuko mingi katika miaka 40 ya uhai wa CCM, tumevuka mawimbi hayo kutokana na kubaki na kuheshimu misingi ya katiba yetu. Hata hivyo katika kipindi kifupi cha mwenyekiti magufuli misingi hiyo imeanza kubomolewa kabisa. Mifano ipo mingi lakini tutaeleza machache.

Kwanza wakati sisi makatibu wa wilaya na mikoa tulipoondolewa kwenye nafasi zetu, taarifa ilitolewa kwamba CCM imeteua makatibu wapya. Ukweli ni kwamba hakukuwa na kikao chochote kilichofanya uteuzi wa Makatibu. Kwa mujibu wa Katiba mpya ya CCM, Makatibu wa Wilaya wanateuliwa na Sekretarieti ya CCM, na Makatibu wa Mikoa wanateuliwa na Kamati Kuu. Hakuna kikao cha sekretarieti wala kamati kuu iliyokaa kuteua Makatibu wapya. Hata Ndugu Polepole aliyetangaza majina haya akiulizwa vikao vya uteuzi vilifanyika lini na wapi na kumbukumbu zake ziko wapi, hawezi kujibu. Tena kakatibu wapya waliteuliwa wakati katibu kkuu wa CCM akiwa nje ya nchi. Katiba ya CCM ilivunjwa. Msingi wa kufanya uteuzi kwa vikao uliwekwa na Mwalimu Nyerere ili watendaji wa Chama wawajibike kwa Chama na sio kwa mtu. Hapa limefanyika kosa kubwa sana la kikatiba. Tumefukuzwa kama mbwa baada ya kukipigania chama chetu na mgombea wetu magufuli kupata ushindi.

Pili wakati wa mchakato wa uchaguzi wa ubunge katika majimbo ya siha na kinondoni, wagombea wetu pia waliteuliwa bila kufuata katiba na kanuni za Uchaguzi wa CCM. Kwa mujibu wa katiba ya CCM, halmashauri kuu ya taifa ndio yenye mamlaka ya kuteua wagombea ubunge wa CCM. Pale ambapo halmashauri kuu inashindwa kukutana basi inakasimu mamlaka yake ya uteuzi kwa kamati kuu. Vilevile, katiba yetu na kanuni za uchaguzi wa CCM zinaelezea mchakato wa jinsi ya kupata wagombea wa urais, ubunge na udiwani. Kwa majimbo ya siha na kinondoni, katiba yetu imevunjwa. Hakukuwa na kuchukua fomu wala kura ya maoni. Vilevile, hata pale wagombea wetu ambao ni mtulia kwa kinondoni na mollel kwa siha walipotangazwa, tulielezwa kwamba wameteuliwa na kamati kuu. Sisi tuliopo CCM tunajua kwamba Kamati Kuu haikukaa. Haikukaa kwasababu hadi sasa haijateuliwa. Na hata hiyo ya zamani haikukaa. Sisi tuliokulia ndani ya CCM tulishtushwa sana kwamba Chama chetu kinatoa taarifa ya uongo ili kuficha uvunjifu wa katiba. Hata ndugu polepole aliyetangaza majina ya wagombea hao akiulizwa leo kikao anachosema kilikaa, kilikaa lini, wapi, nani walishiriki na kumbukumbu zake ziko wapi, hawezi kujibu.

Tatu ni kutoitishwa wala kutokuwepo kwa kamati kuu kwa muda wa miezi mitano sasa pia ni uvunjifu wa katiba. Katiba ya CCM inasema kwamba, katika mwaka wa uchaguzi wa CCM, mara baada ya mkutano mkuu wa taifa, halmashauri kuu ya CCM itakutana na kuchagua kamati kuu. Hilo halijatokea. Lakini pia, katiba mpya ya CCM inasema kwamba Kamati Kuu itakutana kila baada ya miezi minne. Sasa tunamaliza mwezi wa tano bila Kamati Kuu kuundwa wala kuitishwa. Hii haijawahi kutokea kwenye chama chetu tangu kiundwe. CCM tangu kuundwa kwake imekuwa inaendeshwa na vikao. Sasa hivi CCM inaendeshwa kwa mikutano ya waandishi wa habari na matamko ya ndugu polepole.

Yapo matukio mengi ya uvunjifu wa Katiba, ambayo mengi hadi sasa umma wala wanachama hawayajui, lakini tumeamua tutaje haya ambayo umma unayajua. Kama Chama kikubwa na kinachoongoza nchi kikianza kuvunja Katiba yake, basi ndio kinaanza kuelekea ukingoni. Haya mambo hayajawahi kutokea tangu Chama chetu kiundwe.

Taharuki ya wabunge wa CCM kukatwa majina kwenye uchaguzi ujao

Ndugu polepole ambaye mara nyingi huzungumza kwa maelekezo ya mwenyekiti alitamka kwamba asilimia 70 ya wabunge wa sasa wa CCM majina yao hayatarudishwa. Jambo hili limeleta taharuki kubwa miongoni mwa wanachama. Kama tulivyoonyesha hapo juu, mchakato wa kuwapata wagombe ubunge wa siha na kinondoni umeonyesha dalili kwamba wagombea Ubunge wa CCM watakuwa wanateuliwa tu kama wakuu wa wilaya. Tumeshuhudia pia kule songea mjini ambapo mshindi wa kura za maoni aliyepata kura zaidi ya 400, na wa pili aliyepata kura zaidi ya 200, wakikatwa na kuchukuliwa mshindi wa tatu aliyepata kura 70 tu, bila sababu zozote za msingi. Tafsiri yake ni kwamba msingi uliowekwa na Mwalimu Nyerere wa demokrasia ndani ya CCM sasa unakufa. Itakumbukwa kwamba, mwaka 1985, Mwalimu nyerere anang’atuka, alitaka Salim ahmed Salim ndio awe mrithi wake. Hata hivyo, alizidiwa hoja kwenye kikao cha Kamati Kuu na wajumbe wakaamua awe Ali hassan mwinyi. Mwalimu nyerere pamoja na nguvu yake na ushawishi wake mkubwa, alikubali demokrasia ndani ya chama na akamkubali mtu ambaye alikuwa hamtaki. Msingi huo sasa unakufa, na msingi huo ukifa CCM ndio inakufa. Wabunge wengi wa ccm wanatuambia kwamba wanaishi kwa hofu kubwa,kila mbunge anaamini anarekodiwa au kawekewa watu kumchunguza kama anaisema vibaya serikali, matokeo yake wanabaki kusifia hata pale penye makosa ili kumfurahisha mwenyekiti kuliko kufurahisha wananchi. Chama chetu kikijaa wabunge wasiosema ukweli, ambao wanasifia hadharani lakini wanalalamika pembeni basi hatutafika popote.

Kuthaminiwa kwa madiwani na wabunge na watu mashuhuri waliotoka upinzani

Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi, watu wamekuwa wanahama vyama na ni jambo la kawaida. Hata hivyo, wanachama wa CCM na wananchi kwa ujumla wao sasa wanashuhudia wimbi lisilo la kawaida la kuhama kwa Wabunge na Madiwani kutoka upinzani kuingia CCM. Sababu wanazotoa ni kuunga mkono kazi nzuri ya Mwenyekiti wetu sio kupenda sera za CCM. Hadi sasa madiwani waliohamia Chama chetu wanakaribia 80. Mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kuamini kwamba hili jambo halina ushawishi wa dola. Ipo video moja ilisambaa kuonyesha ushawishi huu. Mbaya zaidi wanapohamia Chama chetu wanateuliwa na Chama chetu kugombea nafasi walizojiuzulu. Wanachama wa CCM kwenye maeneo hayo na waliokipigania Chama maisha yao yote wanawekwa pembeni. Tangu Mwenyekiti wetu aingie madarakani kumekuwa na chaguzi ndogo za ubunge tano ambazo ni siha, kinondoni, longido, singida na songea mjini. Kwenye hizo chaguzi, majimbo mawili ilikuwa ni kwasababu wapinzani wamerudi CCM. Na ni katika hayo majimbo hakukuwa na mchakato wa ndani ya CCM wa kupata wagombea wa Ubunge. Walirudishwa walewale wapinzani bila hata kuchukua fomu za CCM. Wakati Mwenyekiti wetu anakabidhiwa uenyekiti kwenye mkutano mkuu wa meaja 2016 aliwapokea baadhi ya makada na kutangaza kwamba pamoja na kuwapokea bado hatutawaamini na akasema ni sawa na ng’ombe waliorudi zizini lakini hawana mkia. Kauli ile sasa haisimamiwi tena. Sasa hivi mtu anarudi CCM leo, wiki ijayo anakuwa mgombea wa CCM wa ubunge au udiwani au wanapewa nafasi kubwa kwenye serikali kama vile ukuu wa mkoa na ukatibu mkuu wa wizara. Suala hili linatuvunja sana moyo sisi wanachama wa CCM ambao wapo wengi tuna uwezo wa kushika hizi nafasi. Hili jambo halijawahi pia kutokea kwenye historia ya Chama chetu.

Kamati ya kuchunguza mali za chama

Tangu CCM iundwe kumekuwa na kamati mbalimbali za kufuatilia mali za chama. Safari hii pia imeundwa kamati nyingine. Sisi tuliokuwemo kwenye chama hiki tangu miaka ya 1980 tunaona tofaut kubw kati ya kamati za nyuma na kamati hii ya sasa. Hii ya sasa ni kama inatafuta wachawi. Baadhi ya makatibu wenzetu na viongozi wa jumuiya za chama walioitwa kwenye Kamati wengine hadi wamelizwa machozi kabisa kutoka na tuhuma nzito wanazotupiwa. Katika ziara za kamati hii mikoani tulizoshiriki baadhi yetu viongozi na watendaji wengi wao wamedhalilishwa sana kwa kufokewa. Mwelekeo wa kamati unaonekana kabisa ni kupendekeza baadhi ya watu waondolewe kwenye chama. Kamati hii imejipa jina la kamati ya makinikia ya chama maana yake ni kwamba lazima iondoke na watu kama ilivyokuwa kwenye makinikia ya serikali. Katika baadhi ya magrupu ya wanachama wa CCM orodha ya wanaotakiwa kuondolewa inazungushwa yakiwemo majina ya viongozi wakubwa kabisa wa chama kutokana na ushawishi wao na kukubalika kwao ndani ya chama. Pia wenyeviti wa taifa wastaafu ambao kwa nafasi yao walishiriki katika michakato ya mali za chama huko miaka ya nyuma pia wataingizwa kwenye kashfa kwasababu huwezi kuzungumza madudu ya mali za chama huko nyuma bila kuwahusisha. makatibu wengi wa wilaya na mikoa hawatapona. Wafanyabiashara ambao waliwahi kuchangia CCM huko nyuma pia hawatapona kwa kuwa inaaminiwa kuwa walikuwa wanasafisha hela zao au kuhonga viongozi wa kutoa mchango hasa wa uchaguzi ndio maana mwenyekiti alisema hajawahi kuchangiwa na mtu yoyote. Wanachama wengi wa CCM huku mikoani wana taharuki kubwa kwamba kamati hii italeta mpasuko mkubwa. Wengi wanaamini kwamba Kamati hii haikuja kujenga chama bali kukipasua chama kwa kisingizio cha kukisafisha. Pia wanachama wa CCM huku kwenye kata, wilaya na mikoani wanaona kwamba utaratibu mpya wa vihela vyao wanavyotafuta wenyewe kwanza kuvipeleka makao makuu halafu ndio waletewe wanaona sio haki na wanaona kama vile hawaaminiwi. Wengi wamevunjika moyo.

Hali ya watumishi kwenye chama

Kama kuna kundi la watu wavumilivu hapa nchini basi ni watumishi na watendaji wa chama. Kwanza kwa miaka 11 sasa hatujapandishiwa mishahara, tunapohamishwa hatulipwi kwa wakati, tunahangaika kukipigania chama lakini inapofika kwenye uteuzi na maslahi mengine wanatafutwa eti wasomi wengine wakiwa wanatoka upinzani. Baadhi yetu ambao tuliondolewa nafasi zetu bila kufuata Kanuni hadi leo hatujalipwa mafao yetu. Yaani unaondolewa kama mbwa bila shukurani kwa kukishindisha chama uchaguzi na pesa yako unaipigia magoti. Ukifika makao makuu dodoma au lumumba watu wanalia njaa. Kuna nyakati mishahara inachelewa sana na tunaadhirika. Angalau huko nyuma vikao vilikuwa vingi tulikuwa tunaishi kwa posho sasa hivi mwenyekiti wetu ametaka tubadili katiba NEC ikutane mara mbili kwa mwaka tena Ikulu ambapo watumishi wadogo hatufiki hata kusalimiana na viongozi wetu kutoka mikoani. Miaka ya nyuma wabunge walikuwa wanatupitia sana lakini sasa hivi mwenyekiti amesema wasiwe viongozi wa chama kwahiyo hatuwaoni tena makao makuu. Katibu wetu mkuu Kinana ambae huko nyuma alikuwa mpiganaji wetu sasa hivi kila wakati tunaambiwa mara anaumwa kaenda kutibiwa au ana udhuru anauguza mwanae hali yake mbaya sana nje ya nchi.

Mwisho

Wanachama wa CCM wana wasiwasi mkubwa sana kuhusu hali ya chama chetu. Chama kimepooza sana na hata chaguzi ndogo za hivi karibuni tulizoshinda tukiwa wakweli ndani ya nafsi tunajua dola imetusaidia sana. Huko nyuma tangu wakati wa mwalimu nyerere, wakati wa mwinyi, wakati wa mkapa na wakati wa kikwete vikao vya chama vilitumika kujadili mambo makubwa yanayoendelea nchini na kuyatolea maamuzi. Chama kilikuwa haswa kimeshika dola na kilipozungumza nchi ilikuwa inasikiliza. Sasa hivi kuna mambo makubwa yanayoendelea lakini chama chetu kimepooza na hakisemi na hata kikisema kupitia ndugu polepole hakionyeshi uzito wala kupata heshima kama zamani kwasababu mwenyekiti wetu hataki kuitisha vikao, hataki mijadala, hataki ushirikishaji. Katika historia ya chama chetu hii ndio mara ya kwanza chama kinaendeshwa na mtu mmoja sio vikao wala demokrasia. Huu ndio mwanzo wa kufa kwa CCM. Wana-ccm wakikaa kimya na kuogopa chama chetu ndio kinakufa hivyo. Wazee wetu wenyeviti na makamu wenyeviti wastaafu kupitia baraza lao waingilie kati la sivyo kabla hawajafa watakuja kuishi ndani ya upinzani sio kwasababu wapinzani wa sasa watashinda bali ccm itapasuka katikati na kundi kubwa la viongozi wenye ushawishi kwenye ccm na kwenye jamii watashindwa kuvumilia utamaduni mpya wa kutafutana na kuwindana na maisha ya hofu na wataunda chama kipya na kuunda upinzani mmoja wenye nguvu kubwa. KANU na vyama vingine tawala afrika viliondoka hivi hivi kwa kuacha misingi yake na kwa wanachama na viongozi wake kuishi kwa hofu ya kuondolewa hivyo kuanza kufikiria mstakabali wao mbadala. Tusipoangalia huu sasa ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa ccm.
Pole sana!!! Usijifiche UWANJA ukifikiri Hakuna anayekuona!!!

Kwanza Umesema "NI WARAKA WA SIRI KWENDA KWA WAZEE WA CHAMA""

Aya yako ya Kwanza tu ukasema "WANATAKA WATANZANIA NA WANANCHI KWA UJUMLA WAJUE... ""

hujifichi popote Mwanahabari wa Chagadema??!!!!!

BTW:- ile Ruzuku mbona hautoi majibu yake????

Au kwa kuwa mgao ulikufikia???? Mdomoni kumewekwa Zipu/Gundi

ONYO:- TOA KIBANZI JICHON MWAKO(CHAGADEMA) NDIPO UONE BORITI JICHONI MWA MWINGINE (CCM)

in Lusinde's Voice
 
Tundu Lissu alishawaambia kuwa Magufuli akishawamaliza wapinzani atawageulia wao CCM

Sasa yeshaanza kutimia.........
 
Walikuwa wapi siku ile pale Dodoma aliposema "angewapoteza" CCM imejaa wajinga wengi mno na wachumia tumbo kiasi hawajui kusoma alama za nyakati. Tangu jamaa akiwa ujenzi kama mtu ni smart kidogo tu ungeng'amua jamaa sio.
Waache waparuane
 
Kumbe hata nyie mnaisoma nambaeeeee safi........wanaolialia ni mafisadi yalizoea vya bure mnalia vyuma vimekaza na vitakaza kwelikweli
 
You are better off enunciating yourself in Kiswahili (our Holly Language).
Am sure that he has got your message but don't forget to ask your so called "mzalendo msanii"to respond on this question; Why he has stolen such a huge amount of money (public fund) 1.5trln?
 
Mwanahabari Huru hangaika na Chadema yako CCM huiwezi acha udaku!! Vipi Mwenyekiti wa maisha Mbowe mbona huongelei issue hiyo??
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! ccm imekufa kizembe sana ! Halafu cha kushangaza INAUAWA NA WATU AMBAO WAO WENYEWE AMA WAZAZI WAO HAWAKUSHIRIKI KUIJENGA !
. Kumbuka enzi ya ujenzi wa mnara wa babeli mambo yalivyovurugika.
 
Ha

Haah! Nao wanaogopana.
 
Walikuwa wapi siku ile pale Dodoma aliposema "angewapoteza" CCM imejaa wajinga wengi mno na wachumia tumbo kiasi hawajui kusoma alama za nyakati. Tangu jamaa akiwa ujenzi kama mtu ni smart kidogo tu ungeng'amua jamaa sio.
.wangemfanyia venting hata ualimu asingepewa maana kwa ukichaa ule na umalaya ule lazma alibaka either mwl au mwanafunzi wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom