Waraka wa Pasaka kutoka kwa mhandisi ujenzi mzalendo

Civil Engineer tz

Senior Member
Dec 17, 2017
103
82
WARAKA WA PASAKA KUTOKA KWA MHANDISI UJENZI MZALENDO

Nawasalimu wote,

Ndugu wa-Tanzania, kumekuwa na nyaraka mbalimbali zinazotolewa kwa serikali msimu huu wa Pasaka, nami nimeona vyema nitoe waraka huu kwa ajili ya kukumbushana.

Tupo duniani na hakuna atakayeweza kuturidhisha taifa lote katika uongozi wake. Sio Askofu au Mchungaji au Mufti au kiongozi yoyote wa dini au malaika au Yesu, wala sio wewe wala si mimi wala si shetani Hakuna yeyote ambaye akiwa Rais atapendwa na kila mtu au kila taifa jirani.

Hivyo nadhubutu kusema kuwa, kumsema vibaya kiongozi au kumtukana hakusaidii lolote bali kunaleta uvunjifu wa amani. Ni vyema kumwombea kwa Mungu azidi kumpa hekima na kuiombea nchi amani na kutoa ushauri unao-uonna upo sahihi akiutendea kazi sawa akiutupa sawa.

Mtu anayeefaa kuwa kiongozi ni nani?

Ni yule anayeona m/wenzake a/wanaenda kinyume nae, akachukua hatua ya kumshauri na kumwaombea mema bila ya kumtukana wala kumsema vibaya kwa watu, akiwa CCM au CHADEMA au POPOTE ni sawa.

Watu wanamna hiyo ni wachache sana hata katika bibilia, baadhi yao ni ;

01. Tunamsoma Ayubu. Huyu Mungu alimruhusu shetani kumtendea mabaya ila yeye hakumkufuru Mungu.

02. Tunamsoma Yesu. Huyu aliteswa na wanadamu ila aliwaombea mema wasipigwe na Mungu kwani hawajui walitendalo.

03. Tunamsoma Stefano. Huyu alipigwa mawe hadi kufa ila hakuwalaani waliompiga.

04. Na wengine uliowahi kuwasoma ambao walitendewa mabaya ila hawakulipa mabaya.

Nyakati hizi imekuwa rahisi kumwona mwanachama-MPINZANI anamwacha mumeo eti kisa mumewe kahamia ChamaTAWALA huku akitaka wa-Tanzania tumwone yeye ndio kiongozi mzuri.KUSEMA KWELI HUYO MWANAMAMA HATOFAA KUWA KIONGOZI BORA.

Nyakati hizi imekuwa rahisi kumwona mwanachama-MPINZANI anamsema vibaya au kumtusi mh Rais, huku akitaka kuonekana kuwa yeye atakuwa kiongozi bora akichaguliwa.KUSEMA KWELI HUYO HATOFAA KUWA KIONGOZI BORA

Nyakati hizi imekuwa rahisi kumwona mwanachama-TAWALA akiwatusi au kuwasema vibaya wapinzani, huku akitaka kuonekana yeye ni kiongozi bora akichaguliwa.KUSEMA KWELI HUYO HATOFAA KUWA KIONGOZI BORA.

Maoni yangu kwa wa-Tanzania wenzangu:

Kiongozi si UCHAMA, Kiongozi ni HEKIMA. Wa-Tanzania tushamchagua Mh Rais John Pombe Magufuli kuwa Kiongozi wa Wa-Tanzania.

Kilicho chema kwetu ni kumwombea kwa Mungu azidi kumpa hekima na kupendekeza/ kushauri yaliomema kwake. Kumsema vibaya na kumtusi hakusaidii lolote bali kunapelekea uvunjifu wa amani.

Kumbuka hata kama ni nani angekuwa kiongozi, sio watu wote wangeona mazuri yake, maana kuna watu wengine wanamchukia mtu tu- kwa ongea yake, wengine kwa sura yake, wengine kwa tembea yake. WANADAMU HATA MUNGU ALIYEWAUMBA WANAMPINGA SEMBUSE MTU MWENZAO.

RAIS JPM CHAPA KAZI USHAAMINIWA NA WENGI WEWE CHAPA KAZI, BINADAMU WENYE ROHO NJEMA HUWA WANAKUMBUKA MEMA YA MTU WAKATI AMEKUFA, NA WENYE ROHO MBAYA HUFURAHIA KIFO CHA MTU BALI WENYE HEKIMA WATAZIDI KUKUOMBEA KWA MUNGU AKUONGEZEE HEKIMA NA KUKUEPUSHA NA MABAYA YOTE.
 
Huu ni waraka kwa wanaCCM wenzio usitutie majaribuni tukakutolea maneno yanayofanana na ushuzi uluoweka hapa. Andiko lako limejaa lawama kwa upinzani utafikiri chama chako cha wauaji hujui mabaya kinayofanya? Ukirudi tena na upuuzi kama huu tutakwambia cha kufanya.
 
WARAKA WA PASAKA KUTOKA KWA MHANDISI UJENZI MZALENDO

Nawasalimu wote,

Ndugu wa-Tanzania, kumekuwa na nyaraka mbalimbali zinazotolewa kwa serikali msimu huu wa Pasaka, nami nimeona vyema nitoe waraka huu kwa ajili ya kukumbushana.

Tupo duniani na hakuna aliyemkamilifu. Sio Askofu au Mchungaji au Mufti au kiongozi yoyote wa dini au malaika au Yesu, wala sio wewe wala si mimi wala si shetani **Hakuna yeyote** ambaye akiwa Rais atapendwa na kila mtu au kila taifa jirani.

Hivyo nadhubutu kusema kuwa, kumsema vibaya kiongozi au kumtukana hakusaidii lolote bali kunaleta uvunjifu wa amani. Ni vyema kumwombea kwa Mungu azidi kumpa hekima na kuiombea nchi amani na kutoa ushauri unao-uonna upo sahihi **akiutendea kazi sawa akiutupa sawa**.

Mtu anayeefaa kuwa kiongozi ni nani?

Ni yule anayeona m/wenzake a/wanaenda kinyume nae, akachukua hatua ya kumshauri na kumwaombea mema bila ya kumtukana wala kumsema vibaya kwa watu, akiwa CCM au CHADEMA au POPOTE ni sawa.

Watu wanamna hiyo ni wachache sana hata katika bibilia, baadhi yao ni ;

01. Tunamsoma Ayubu. Huyu Mungu alimruhusu shetani kumtendea mabaya ila yeye hakumkufuru Mungu.

02. Tunamsoma Yesu. Huyu aliteswa na wanadamu ila aliwaombea mema wasipigwe na Mungu kwani hawajui walitendalo.

03. Tunamsoma Stefano. Huyu alipigwa mawe hadi kufa ila hakuwalaani waliompiga.

04. Na wengine uliowahi kuwasoma ambao walitendewa mabaya ila hawakulipa mabaya.

Nyakati hizi imekuwa rahisi kumwona mwanachama-MPINZANI anamwacha mumeo eti kisa mumewe kahamia ChamaTAWALA huku akitaka wa-Tanzania tumwone yeye ndio kiongozi mzuri...**KUSEMA KWELI HUYO MWANAMAMA HATOFAA KUWA KIONGOZI BORA**.

Nyakati hizi imekuwa rahisi kumwona mwanachama-MPINZANI anamsema vibaya au kumtusi mh Rais, huku akitaka kuonekana kuwa yeye atakuwa kiongozi bora akichaguliwa...**KUSEMA KWELI HUYO HATOFAA KUWA KIONGOZI BORA**

Nyakati hizi imekuwa rahisi kumwona mwanachama-TAWALA akiwatusi au kuwasema vibaya wapinzani, huku akitaka kuonekana yeye ni kiongozi bora akichaguliwa...**KUSEMA KWELI HUYO HATOFAA KUWA KIONGOZI BORA**.

wewe utakuwa na mtindio wa ubongo siyo bure

Mungu akubariki
 
Unapochangia ukumbuke mimi ni mwanaume niliyefanya kazi zaidi ya saiti kumi za ujenzi hapa Tanzania...kwa hiyo matusi hayaniumizi bora ungeweza kunipiga kibao ila matusi kweli hayaniumizi kwani ndio maisha ya saiti. Ndio maana nitatoa baraka kwa watakaonitusi wote.
 
Kaendelee na ujenzi jombaaa, hamna ulichoandika hapa
 
Unapochangia ukumbuke mimi ni mwanaume niliyefanya kazi zaidi ya saiti kumi za ujenzi hapa Tanzania...kwa hiyo matusi hayaniumizi bora ungeweza kunipiga kibao ila matusi kweli hayaniumizi kwani ndio maisha ya saiti. Ndio maana nitatoa baraka kwa watakaonitusi wote.
Wewe ni mnayapala wa barabara, endelea kumwaga vifusi siasa huiwezi
 
WARAKA WA PASAKA KUTOKA KWA MHANDISI UJENZI MZALENDO

Nawasalimu wote,

Ndugu wa-Tanzania, kumekuwa na nyaraka mbalimbali zinazotolewa kwa serikali msimu huu wa Pasaka, nami nimeona vyema nitoe waraka huu kwa ajili ya kukumbushana.

Tupo duniani na hakuna aliyemkamilifu. Sio Askofu au Mchungaji au Mufti au kiongozi yoyote wa dini au malaika au Yesu, wala sio wewe wala si mimi wala si shetani **Hakuna yeyote** ambaye akiwa Rais atapendwa na kila mtu au kila taifa jirani.

Hivyo nadhubutu kusema kuwa, kumsema vibaya kiongozi au kumtukana hakusaidii lolote bali kunaleta uvunjifu wa amani. Ni vyema kumwombea kwa Mungu azidi kumpa hekima na kuiombea nchi amani na kutoa ushauri unao-uonna upo sahihi **akiutendea kazi sawa akiutupa sawa**.

Mtu anayeefaa kuwa kiongozi ni nani?

Ni yule anayeona m/wenzake a/wanaenda kinyume nae, akachukua hatua ya kumshauri na kumwaombea mema bila ya kumtukana wala kumsema vibaya kwa watu, akiwa CCM au CHADEMA au POPOTE ni sawa.

Watu wanamna hiyo ni wachache sana hata katika bibilia, baadhi yao ni ;

01. Tunamsoma Ayubu. Huyu Mungu alimruhusu shetani kumtendea mabaya ila yeye hakumkufuru Mungu.

02. Tunamsoma Yesu. Huyu aliteswa na wanadamu ila aliwaombea mema wasipigwe na Mungu kwani hawajui walitendalo.

03. Tunamsoma Stefano. Huyu alipigwa mawe hadi kufa ila hakuwalaani waliompiga.

04. Na wengine uliowahi kuwasoma ambao walitendewa mabaya ila hawakulipa mabaya.

Nyakati hizi imekuwa rahisi kumwona mwanachama-MPINZANI anamwacha mumeo eti kisa mumewe kahamia ChamaTAWALA huku akitaka wa-Tanzania tumwone yeye ndio kiongozi mzuri...**KUSEMA KWELI HUYO MWANAMAMA HATOFAA KUWA KIONGOZI BORA**.

Nyakati hizi imekuwa rahisi kumwona mwanachama-MPINZANI anamsema vibaya au kumtusi mh Rais, huku akitaka kuonekana kuwa yeye atakuwa kiongozi bora akichaguliwa...**KUSEMA KWELI HUYO HATOFAA KUWA KIONGOZI BORA**

Nyakati hizi imekuwa rahisi kumwona mwanachama-TAWALA akiwatusi au kuwasema vibaya wapinzani, huku akitaka kuonekana yeye ni kiongozi bora akichaguliwa...**KUSEMA KWELI HUYO HATOFAA KUWA KIONGOZI BORA**.

Maoni yangu kwa wa-Tanzania wenzangu:

Kiongozi si UCHAMA, Kiongozi ni HEKIMA. Wa-Tanzania tushamchagua Mh Rais John Pombe Magufuli kuwa Kiongozi wa Wa-Tanzania.

Kilicho chema kwetu ni kumwombea kwa Mungu azidi kumpa hekima na kupendekeza/ kushauri yaliomema kwake. Kumsema vibaya na kumtusi hakusaidii lolote bali kunapelekea uvunjifu wa amani.

Kumbuka hata kama ni nani angekuwa kiongozi, sio watu wote wangeona mazuri yake, maana kuna watu wengine wanamchukia mtu tu- kwa ongea yake, wengine kwa sura yake, wengine kwa tembea yake. WANADAMU HATA MUNGU ALIYEWAUMBA WANAMPINGA SEMBUSE MTU MWENZAO.

RAIS JPM CHAPA KAZI USHAAMINIWA NA WENGI WEWE CHAPA KAZI, BINADAMU WENYE ROHO NJEMA HUWA WANAKUMBUKA MEMA YA MTU WAKATI AMEKUFA, NA WENYE ROHO MBAYA HUFURAHIA KIFO CHA MTU BALI WENYE HEKIMA WATAZIDI KUKUOMBEA KWA MUNGU AKUONGEZEE HEKIMA NA KUKUEPUSHA NA MABAYA YOTE.

Jamii yetu ina wapumbavu wengi sana,ni vema ungeanza kutumia uhandisi wako kuikarabati akili yako,kama haya ndiyo mawazo ya wahandisi wa leo ni aibu na fedheha kwa uhandisi ambayo ni moja ya taaluma ngumu sana,aliyesoma Engineering hawezi kuwa mwepesi wa kiwango hiki cha uvccm!
 
Back
Top Bottom