Waraka wa mchungaji mtikila

Waraka wa mchungaji mtikila

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,902
Reaction score
4,444
kwa yeyote aliyebahatika kuusoma au kuupata walaka unaodaiwa kutolewa na rev. mtikila na polisi kusema una chochea machafuko naomba auwasilishe hapa watu wapime kama yanayoongelewa ni uchochezi au ndo hali halisi ya nchi yetu.
 
Sure man, nimekuwa nausaka huu waraka nione hicho cha kumkamatisha Mtikila but in vain...mwenye nao plz
 
Huyu mzee naye amefulia si ni yeye aliyepokea uchache wa Rosti ya Azizi huyu. Asituchanganye hapa, nimeishamtoa katika orodha ya wapambanaji wazuri
 
Huyu mzee naye amefulia si ni yeye aliyepokea uchache wa Rosti ya Azizi huyu. Asituchanganye hapa, nimeishamtoa katika orodha ya wapambanaji wazuri

Bwana Nyati tupe proof kama Rostam alimpa kitu kidogo,pia ilikuwa ni shilling ngapi na lini!
 
Hii ni thread ya kuomba waraka na si kutafuta CV za mtu.
PLS mwenye waraka auweke hapa tuusome tujue kilichomo ndani yake.
 
kwa yeyote aliyebahatika kuusoma au kuupata walaka unaodaiwa kutolewa na rev. mtikila na polisi kusema una chochea machafuko naomba auwasilishe hapa watu wapime kama yanayoongelewa ni uchochezi au ndo hali halisi ya nchi yetu.

yap hii ni nzuri
 
Bwana Nyati tupe proof kama Rostam alimpa kitu kidogo,pia ilikuwa ni shilling ngapi na lini!
Huu ni ubishi sasa! liko waazi hili na wote walikiri kupeana pesa, sasa wewe unataka mtu akariri tarehe, suti aliyo vaa n.k!!
 
Nzi yuko wapi?
Hebu tafadhali aruke had Central police akauchukue!
 
Mna maana mwenye waraka wa UCHOCHEZI WA CHUKI ZA KIDINI auweke hapa WAFUASI wake wa pande zote mbili waanza kututakanana......

Omarilyas
 
Back
Top Bottom