Askofu bagonza namkubali sana kwa kusema na kusimama kwenye kweli na hakiKwa kawaida makanisa haya makuu nchini kila mwaka huwa yanatoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, Kipindi hicho hujulikana pia kama KWARESIMA, ambacho kinahitimishwa na IJUMAA KUU na kisha sikukuu ya PASAKA.
Mwaka huu Ibada ya Ijumaa Kuu inafanyika kitaifa katika Dayosisi ya Karagwe (KKKT) leo alasiri, tunasubiri kwa hamu mahubiri na tafakuri murua kutoka kwa Askofu Dk. Benson Bagonza asiyepepesa macho wala ulimi.
Ujumbe wa mwaka jana ulitikisa nchi pale maaskofu walipoonya uminywaji wa demokrasia na uhuru vyombo vya habari na haki za wananchi.
Nawatakia IJUMAA KUU njema yenye heri na Sikukuu ya PASAKA.
Mduanzi tu huyo,kwa imani yako bwege mtozeniKwa kawaida makanisa haya makuu nchini kila mwaka huwa yanatoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, Kipindi hicho hujulikana pia kama KWARESIMA, ambacho kinahitimishwa na IJUMAA KUU na kisha sikukuu ya PASAKA.
Mwaka huu Ibada ya Ijumaa Kuu inafanyika kitaifa katika Dayosisi ya Karagwe (KKKT) leo alasiri, tunasubiri kwa hamu mahubiri na tafakuri murua kutoka kwa Askofu Dk. Benson Bagonza asiyepepesa macho wala ulimi.
Ujumbe wa mwaka jana ulitikisa nchi pale maaskofu walipoonya uminywaji wa demokrasia na uhuru vyombo vya habari na haki za wananchi.
Nawatakia IJUMAA KUU njema yenye heri na Sikukuu ya PASAKA.
Akili yako imechenjuliwa na kibamia cha beberu!Mduanzi tu huyo,kwa imani yako bwege mtozeni
Tangu wapigwe biti hawana jeuri tena ya kuandika nyaraka kuntu.HAPO vijana wa KIJITONYAMA washajazana....Yani wanaogopa waraka hao
Mduanzi tu huyo,kwa imani yako bwege mtozeni
HAPO vijana wa KIJITONYAMA washajazana....Yani wanaogopa waraka hao
Kosa sana kuongelea imani ya mwingine ,ungejikita kwenye imani yako bila kugusa za wengine ingependeza sana.Im proud to be a Christian...viongozi wetu wa dini wako tofauti sana na "wala tende" maana wale jamaa wa upande wa pili ni wanafiki wa kiwango cha lami
Kumbe wewe badala ya kwenda kusali na kutubu madhambi yako umebaki kusubiri mahubiri ya Askofu Benson acha kufikiria kisiasa kila wakati Askofu Benson hawezi kukufikisha mbinguni ila matendo yako!Kwa kawaida makanisa haya makuu nchini kila mwaka huwa yanatoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, Kipindi hicho hujulikana pia kama KWARESIMA, ambacho kinahitimishwa na IJUMAA KUU na kisha sikukuu ya PASAKA.