Sasa we mnyika,bla bla nyingi za nini, si ungesema unaomba msamaa kwa maneno machache tu. Cheza na Kikwete wewe, haya wana CDM, jamaa yenu anajitetea na kuomba msamaha baada ya kuropoka.
duh nimepitia waraka wote hakuna hata kero za jimbo la ubungo hakuna kwenye waraka mrefu wa ngojera ya ukweli uhuru! ngonjera ngonjera ngonjera! wana ubungo mme-vulugwa mchana kweupe!
ubungo imekula kwenu! ngonjera hizi hadi lini!
Sasa we mnyika,bla bla nyingi za nini, si ungesema unaomba msamaa kwa maneno machache tu. Cheza na Kikwete wewe, haya wana CDM, jamaa yenu anajitetea na kuomba msamaha baada ya kuropoka.
watz wenye akili timamu,wanaithamini nchi yao,wanaofuatilia mambo,na wenye uhuru wa fikra wako proud sana na vijana kama Mnyika.tuwashukuru na kuwapöngeza watu wa ubungo kwa kutuletea huyu kijana bungeni.mchango wako utakumbukwa na 'watu' wa kizazi hiki na kijacho.keep it up!
Watu wengi humu ni mazezeta wanaodhani wana wezo na ufahamu mkubwa. Wewe umeuliza swali la maana sana. Kauli yake jinsi alivyoitoa ni kishari mno na ilikuwa imekaa ki-Lema/Heche na wala siyo jinsi alivyokuwa mstaarabu.Kiongozi
Kwa hiyo Rais anao uwezo wa kikatiba wa kuepusha bunge kuvunjwa kwa kutumia vipengele ulivyotaja ili kufanya marekebisho hivyo wabunge hawatafikia hatua ya kupiga kura ya hapana kwa bajeti.????
Nauseating!
Mnyika nilikwambia humuwezi Kikwete, shauri lako, wewe endelea tu.
Na vipi angeongeza hilo neno 'zezeta' kwenye kauli yake siku ile si mngejinyonga kama mtaalamu wa anga angeitwa zezeta?! Au hao unaowaita mazezeta hapa hawastahili heshima??? UKWELI NI UHURU!!!Watu wengi humu ni mazezeta wanaodhani wana wezo na ufahamu mkubwa. Wewe umeuliza swali la maana sana. Kauli yake jinsi alivyoitoa ni kishari mno na ilikuwa imekaa ki-Lema/Heche na wala siyo jinsi alivyokuwa mstaarabu.
Unajua haya mambo ya uenezi yasikufanye Mnyika uwe kama hao Mangi kwenye chama chako (kama cheo, sio ukabila), tunajua kwa humkubali Kikwete kama rais halali wa nchi yetu kwani uliondoka mkutanoni wakati wa ufunguzi wa bunge, ukataka wapinzani wapewe nafasi mbili bunge la EA, ukapewa ingawa si sheria na sasa umemwita rais dhaifu just to hit back on Mwigulu's statement. Thats childish na hapa tulipofika is a function of so many blunders, siyo JK peke yake.
Usiwe kama Lusinde, show us that you are cut from a different cloth.
Kwani unafikiri msemo wake umetusaidia nini? Kwa mfano wewe ni zezeta.Na vipi angeongeza hilo neno 'zezeta' kwenye kauli yake siku ile si mngejinyonga kama mtaalamu wa anga angeitwa zezeta?! Au hao unaowaita mazezeta hapa hawastahili heshima??? UKWELI NI UHURU!!!
Sasa we mnyika,bla bla nyingi za nini, si ungesema unaomba msamaa kwa maneno machache tu. Cheza na Kikwete wewe, haya wana CDM, jamaa yenu anajitetea na kuomba msamaha baada ya kuropoka.
nimeamini Mbunge mmoja wa Chadema skills zake ni sawa na wabunge 10 wa CCM