Waraka no. 1 wa mwaka 2012 wa Mbunge kwa Wananchi- “Ukweli ni Uhuru”- Mnyika

safi sana mkuu JJM kama Job NDUGAI angekuruhu kufafanua usingefika kote huku lakini ngoja uwakatie issue MAgamba.
 
Mnyika kwa ile kauli yako umejivunjia sana heshima yako jifunze kwa Slaa jinsi ya kufikisha hoja kiungwana...Slaa kapambana mara ngapi na JK, lakini hata siku moja ajawahi kutoa kauli za kejeli wewe bado kijana mdogo bado unaitaji kujifunza usikurupuke hovyo utapotea.


Huna namba ya Mnyika umfikishie ujumbe? Kwangu mimi ujumbe wa Mnyika ulishawafikia mnatafuta pa kutokea. Kubali yaishe hapa hamtoki sawa na kumpiga teke chura unamuongezea mwendo.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom