Waraka no. 1 wa mwaka 2012 wa Mbunge kwa Wananchi- “Ukweli ni Uhuru”- Mnyika

Mnyika nilikwambia humuwezi Kikwete, shauri lako, wewe endelea tu.

kwani nani kakwambia huu ni ugomvi??.
Kikwete ni mtendaji katika ngazi ya uraisi, sasa kama ndg. Mnyika kabaini mapungufu katika utendaji wake anapomkosoa ni ugomvi??
 
Mnyika si unaona kauli yako inavyokugharimu haya wewe endelea tu.
 
Nakupongeza JJ Mnyika. Ukweli ni UHURU, si kweli kwamba wote wangekuunga mkono bali wazalendo wengi wako pamoja nawewe. M4C
 
Maelezo yaliyotoka kwa mtu makini. Bravo mnyika endelea kutupatia shule. Raisi wa dar.
 
Mnyika si unaona kauli yako inavyokughalimu haya wewe endelea tu.
yap acha imgharimu maana mashujaa wote huchagua njia ngumu bila kujari yatakayojiri! no matter what, mnyika ameanzisha tu wengi watatokwa na mizimu ya uoga na unafiki na kuanza kuchukua hatua hata kama itagharimu maisha! FEAR IS NOT AN OPTION AND NEVER WILL BE!
 


...Ukweli ni uhuru!.

....Ukweli ni Uhuru!.

....Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

..Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni uhuru!.

...Ukweli ni uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni Uhuru!

...Ukweli ni Uhuru!.

...Ukweli ni uhuru.
Nauseating!
 
Kiongozi
Kwa hiyo Rais anao uwezo wa kikatiba wa kuepusha bunge kuvunjwa kwa kutumia vipengele ulivyotaja ili kufanya marekebisho hivyo wabunge hawatafikia hatua ya kupiga kura ya hapana kwa bajeti.????
 
Umesamehewa dogo, tunajua ni ukosefu wa malezi ya pande mbili.
 
Well said our political genius brother..hakuna kama wewe katika siasa zetu za Bongo. Nashauri baada ya Mbowe kumaliza muda wake wa wenyekiti wanachama tumpatie huyu kijana. Msimamo wake ni hazina kwa chama. Kuna viongozi tunao kwenye chama lakini hawana msimamo thabiti kama huyu kijana.
 
Mnyika nimeeendelea kukubali - ukweli ni uhuru.

Jk niddhaifu- ukweli ni uhuru

kama hiyo rufaa ya bunge inakatwa kwa pesa sema tuchange- ukweli ni uhuru

Natumaini rufaa itatoa fursa ya ulimwengu mzima kujua jinsi jk alivyo dhaifu- ukweli ni uhuru.

Najua spika lazima akatae rufaa- ukweli ni uhuru.

Wewe ni makamo rais wa wasema ukweli,ukiongozwa na rais wako G.lema- ukweli ni uhuru.

Ndugai ni dhaifu - ukweli ni uhuru.
 
huu ndio woga nilio kuwa nauzungumzia, unabadili kauli mapema hivi? Lakini huu woga wako utakusaidi mbeleni kupata hata ukuu wa wilaya baada ya chama chenu kufa.
 
huu ndio woga nilio kuwa nauzungumzia, unabadili kauli mapema hivi? Lakini huu woga wako utakusaidi mbeleni kupata hata ukuu wa wilaya baada ya chama chenu kufa.

ukweli ni uhuru. Uwoga unao huongelea hapo ni upi? Au unadhani kafuta kauli yake? Kaja na mpya hii hapa

"JK NI DHAIFU-UKWELI NI UHURU"
 
Tatito la Tanzania lipo kwenye sheria sheria mama sio nzuri kwa kumpa rais madalaka makubwa twendeni wanasheria kwenye katiba mpya ndio ukombozi wa mtanzania.
 
Back
Top Bottom