Poleni sana mlioandika waraka huu!!!,Unajua tumeuzoea usemi usemao "Wanao kaa pamoja ndio wanaojuana,kama si kwa lugha basi kwa matendo hata kwa ishara tuu.
Ukisoma waraka huu kama wewe ni mkristo utajua wazi kwamba waraka huu umeandikwa na mtu asiye mkristo yaani aidha mpagani au dini nyingine tofauti na mkristo.
Nashangaa ni mkristo gani aliyemwaasi mungu kiasi hiki na kuandika waraka huu,(Tumezoea kusema Mungu baba,bwana Yesu,roho mtakatifu n.k/sasa hii Bwana Mungu inatoka wapi???).Mwandishi huyu hakika ni kibaraka kabisaa!.
Wakristo tunajua nini maana ya amani na kukaa kwa upendo na kuvumiliana katika madhaifu na kumwachia mungu pekee aamue sio maamuzi ya kibinadamu.