mzee haijalishi; watakapochoka na matatizo na kuamua kweli wanataka kujiandaa kutawala wataamua la kufanya.
Kwenye CCM hakuna mtu aina ya Zitto ambaye baada ya maamuzi ya vikao anatoa msimamo wake. Walichocopy na kupaste ni majina ya vikao hivi. Kamati Kuu ya CHADEMA kimuundo ni tofauti sana na ile ya CCM.Ngoja niweke hivi: Hadi pale CHADEMA itakapobadilisha mfumo na muundo wake kama chama itaendelea kujikuta kwenye matatizo yale yale. Haitojalisha nani ni Mwenyeki, Katibu au Naibu! Walipocopy na kupaste mfumo wa CCM walinakili vile vile namna matatizo yanavyotokea ndani ya CCM. Quote me.
TO the contrary, namshauri mbowe afanye mpango wa kumfukuza Zitto mapema iwezekanavyo ili akajiunge na CCM yake mapema badala ya kulea kidonda, Wakati mwingine dawa ya kansa ni kukata kiungo chenye kansa mapema ili kansa isienee mwili mzima, Si bure Zitto ana lake jambo au katumwa!!!
TO the contrary, namshauri mbowe afanye mpango wa kumfukuza Zitto mapema iwezekanavyo ili akajiunge na CCM yake mapema badala ya kulea kidonda, Wakati mwingine dawa ya kansa ni kukata kiungo chenye kansa mapema ili kansa isienee mwili mzima, Si bure Zitto ana lake jambo au katumwa!!!
Vijana wa ccm wanajulikana mapema humu ndani kutokana na uwezo wao mdogo wa kujenga hoja mimi nakwambia tunatumia kauli hii:Its your choice either to join us or to be against us' anguko kuu la chama tawala Tanzania ni 2015 shime wananchi njoni tulikate kichwa joka hili linalomeza maendeleo yetu
vijana tunakiamini chama cha demokrasia na maendeleo,kwa namna kinavyosimama na kuibua na kuhoji mambo muhimu sana katika jamii yetu.
Hata wazazi wetu wanaamini chadema ndio kimbilio letu, licha ya wao kutuonya kuhusu kujitokeza mbele sana kwenye harakati za siasa, wakihofia usalama wetu.
Ila sasa viongozi wetu mnapoonekana kuvutana kwa ajiri ya tamaa za madaraka na ruzuku, ni aibu sana na ipo siku vijana wengi watafuatilia kiundani mambo ya chama chetu na ikiwa watabaini ukweli ulio tofauti na hisia zao, basi wataingia msituni kwani hawataamini mabadiliko kupitia chama cha siasa.
Ikiwa chadema hakitabadilika kimtazamo, kisera na ki-organisation, hakuna mafanikio, nawaomba sana mbowe, slaa na zitto kubalini kukaa na kushauriana.
I dnt understant wht the deal with uwenyekiti, tafadhali sana vijana vyuoni sasa wameanza kuhoji undani wa ugomvi wa mbowe na zitto kila wanapo onana.
Na ni kwa nini wanaonekana kutosikilizana hata kwa jambo la maana, tunajitahidi kujibu maswali magumu sana kutoka kwa vijana wasiojua chadema, ila tunafanikiwa kuwatuliza na kuwapa moyo, ila wakati mwingine unajibu mtu na unaona haimwingii akilini.
Please msituumize kabisaaa.
Hapo ndipo mnapokosea, Ujamaa na Kujitegemea ni mwongozo wa CCM...Ujamaa na kujitegemea with the AA incorporation in our constitution.Kiongozi hatakiwi kuwa mfanyabiashara ni lazima awe mkulima au mfanyakazi,na asiwe ameajiri hata house girl!!....
Kama ndio hivyo CDM wanafanya jukumu la wana CCM. Na pia wanahaja ya kubadili mbinu maana wao wanazungumza maneno yaleyale na strategy zilezile hata huko kudhoofisha kutakuwa endelevu? Sasa hivi kilichopo CDM ni kugombania madaraka na umaarufu. Na wakiendelea na kamchezo haka 2015 watakuwa hoi. Wenzao wanajipanga, ushindi ule wanauhesabu kama defeat lakini CDM huenda hawajajua what next. Wakiafanya haya maandamano miaka 5 ikifika 2015, hayo maandamano yatakosa wahudhuriaji na baadae hata sera hazitahusika. Sasa hivi wangejitahidi kujenga mizizi kule walikochukua majimbo kama ilivyokuwa Karatu na Kigoma kaskazini. Waweke miradi ya kimaendeleo kutoka kwenye fedha za chama. Fedha za ruzuku ziende kule. Na waanze kuidentify majimbo mengine ambayo wanayaweza. Siasa si kupayuka tu hadharani.Hili siyo jukumu la CDM ni jukumu la wana CCM; CDM jukumu lake (na la vyama vingine vya upinzani) ni kuidhoofisha serikali iliyoko madarakani ili hatimaye wapiga kura waikatae na kuiondoa madarakani ili chama hicho kiingie madarakani kuongoza.
`tatizo lako unafkiri ki-chama na sio kitaifa,do you think people give a f**k about CDM or CCM?....we want to make our country better and our leaders more commited than those loonies you like to brag about!....ooh and i saw your post on those mitumbas,daaamn!,what a circus holler!!Hapo ndipo mnapokosea, Ujamaa na Kujitegemea ni mwongozo wa CCM...
ChademaKiongozi wa chama (sio wa serikali) anaweza kuwa mkulima/mfanyakazi au mfanyabiashara ili mradi ni kiongozi na mwenye kuelewa na kufuata itikadi za kile anachokihubiri (Hizi ni ajira)..
Mimi naelewa kazi ya Padre (katoliki) ni kufundisha tu dini haruhusiwi kufanya kazi nyingine wala biashara, hii haina maana hata Sheikh au Rabi pia hawaruhusiwi kuwa wafanyabiashara..