The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,323
- 11,762
Tuzichambue hizi ndege mashuhuli na maalum kwa kazi maalum katika uwanja wa vita.
Nazileta kwenu BOMBERS: Tu-160M & B-2 Spirit.
~( Bila ushabiki wala upendeleo wa upande wowote) lets beginning.
MAELEZO KUHUSU JEDWALI HAPO JUU.
Faida: TU-160M
KASI: Inaweza kutoroka hatari au kubadilisha nafasi kwa haraka endapo itaingia kwenye target ya adui; mojawapo ya ndege za kivita hasa Bombers za kasi zaidi katika historia ya dunia.
UWEZO WA KUBEBA SILAHA: Inabeba silaha nyingi zaidi kuliko B-2.
MATUMIZI YA MAKOMBORA: Inatumia makombora ya masafa marefu hivyo haihitaji kuingia katika anga hatarishi.
INJINI MPYA: NK-32-02 ni toleo la kisasa lenye ufanisi na nguvu zaidi.
Faida: B-2 SPIRIT
KUTOGUNDULIKA: Inaweza kupenya kwenye ulinzi mkali wa anga la adui fbila kugunduliwa.
USAHIHI: Inaweza kurusha silaha za kisasa kwa usahihi mkubwa ndani kabisa ya maeneo ya adui.
UWEZO WA KUISHI KATIKA MAZINGIRA HATARI: Imeundwa kustahimili anga lenye rada na makombora ya kujihami.
IMEWAHI KUPIGANA: Imetumika katika vita vya Yugoslavia, Iraq, Afghanistan, Libya, Syria na hivi karibuni nchini Iran.
Mapungufu: TU-160M
HAINA UWEZO WA KUJIFICHA (Stealth Mode): Inagundulika kwa urahisi na rada za kisasa na ndege ndogo za mashambulizi.
GHARAMA KUBWA YA UENDESHAJI: Muundo mkubwa na-nii ghali kuitunza.
IDADI NDOGO: Kuna idadi chache tu zinazofanya kazi; uboreshaji unakwenda polepole.
KUTOKUFAA KWA MATUMIZI TOFAUTI: Imeundwa hasa kubeba makombora—uwezo mzuri kiasi wa kushambulia kwa usahihi ila si kwa ajili ya mashambulizi mazito ndani ya ulinzi mkali katika anga la adui.
Mapungufu: B-2 SPIRIT
KASI: Ni polepole sana ikilinganishwa na Tu-160; haiwezi kukimbia hatari ikiingia kwenye 18 za adui.
UDHAIFU WA KIUMBO: Inahitaji hifadhi maalum zenye hali maalum ya hewa; Stealth coat ni laini na linahitaji matunzo makubwa.
GHARAMA KUBWA SANA: Ni ndege ya gharama kubwa sana. Kila moja kujengwa na kutunzwa kwa matrilioni ya pesa.
IDADI NDOGO SANA: Ni 20 tu ndizo zinazotumika; haitoshi kwa operesheni za nyingi.
KWA HIYO IPI NI IPI BORA KATIKA NYANJA TOFAUTITOFAUTI KWATI YA Tu-160M na B-2 Spirit?
* Kujificha na kupenya:- B-2 Spirit.
* Kasi na uwezo wa kubeba:- Tu-160M.
* Umbali kwa mafuta kamili:- Tu-160M
* Kuingia kwenye anga hatarishi:- B-2 Spirit.
* Ufanisi kwa gharama:- B-2 Spirit
* Rekodi ya mapigano ndani ya mpaka wa adui:- B-2 Spirit.
* Mashambulizi ya mbali zaidi 2000km+ :- Tu-160.
:::: HIVYO BASI;
Tu-160M ni ndege kubwa, yenye kasi ya juu sana, inayobeba makombora ya masafa marefu kwa mashambulizi ya mbali. Haina uwezo wa kujificha, haifai kwa vita vya karibu, lakini inatoa mashambulizi ya nguvu kutoka mbali. Pia inafaa kuwa kama nembo ya nguvu za kikanda.
B-2 Spirit ni ndege ya kipekee naya kisasa yenye uwezo wa kujificha. Ingawa ni ghali na chache, inaweza kufika sehemu nyingine haziwezi, kushambulia kwa usahihi, na kuondoka bila kugundulika. Haina kasi kubwa ila ni muhimu sana kwa mashambulizi ya mwanzo katika vita kwenye maeneo hatarishi.

| KATEGORI | Tu-160M | B-2 Spirit |
| KASI | mach 2+ (over supersonic) | mach 0.9 ( subsupersonic) |
| RANGE ( bila refueling) | 12,300 km | 11,100 km |
| UWEZO (kubeba silaha- ndani) | kg 40,000 | kg 18,000 only |
| ENGINE | 4 za kuznetsov NK-32-02 | 4 za umeme F118 |
| RADAR (range ya uonekano) | KUBWA MNO (~10-100 m²) | MDOGO SANA (~0.1 au chini zaidi) |
| SILAHA | Makombora ya masafa marefu ( Nuclear na kawaida) | Makombora ya kuanguka free, ya kisasa. ( Nuclear au kawaida) |