safi sana..kwa niaba ya kundi kubwa la tuliooa zamani hapa jf, namkaribisha sana geoff aanze rasmi kupashiwa maji asubuhi...!du , umekosa mengi dogo!
Mi najitolea kutoa ushauri wa bure pindi utakapoona the dunia turns black to you!
Tuko pamoja sana!
Waoaji na waolewaji, dont hesitate to announce your intentions out here, whenever you have somebody wanting you!
Namuomba mungu niishi hadi nije kukutana na harusi ya wana-jf wawili, say bht na bujibuji!...its going to be sooo nice..
Maisha mema kwa newly-wedded-couple!
LOL Mkuu hapa nilipo niko choka mbaya kwa ajili ya safari na pilika pilika za harusi.
.....Pole sana mkubwa, I know it was tough and very good experience as well.....!
.....na mchango ulikujaje, mbona yeye ni ''Invisible''...?...teh!tehe!teheee!Check your email bana..halafu kadi ingekuopataje na wewe ni "Invisible" bana??
...I know...with WO!WO!WO!...Ulanzi, ugimbi......mambo lazima yalikuwa bambam......!Laters wadau ila it was fantastic to say the least! Thank you all for making this a reality!
Kumbe 1st Lady nawe wamo katika neno?Waebrania 13
1Endeleeni kupendana kama ndugu. 2Msiache kuwakaribisha wageni, maana kwa kufanya hivyo watu wengine waliwakaribisha mal aika pasipo kujua. 3Wakumbukeni waliofungwa gerezani kama vile mmefungwa pamoja nao; pia wakumbukeni wanaoteswa, kwa kuwa na ninyi bado mnaishi katika mwili.
4Ndoa iheshimiwe na watu wote, na wenye ndoa wawe waaminifu kwa wenzi wao ; maana Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati. 5Maisha yenu yasitawaliwe na tamaa ya kupenda fedha, na mridhike na mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, ``Sita kupungukia kamwe wala sitakuacha.'' 6Kwa hiyo tunaweza kusema kwa ujasiri, ``Bwana ni msaada wangu, sitaogopa kitu, mwanadamu anaweza kunifanya nini?''
Safi sana..Kwa niaba ya kundi kubwa la TULIOOA ZAMANI hapa JF, namkaribisha sana Geoff aanze rasmi kupashiwa maji asubuhi...!Du , umekosa mengi dogo!
Mi najitolea kutoa ushauri wa bure pindi utakapoona the dunia turns black to you!
Tuko pamoja sana!
Waoaji na waolewaji, dont hesitate to announce your intentions out here, whenever you have somebody wanting you!
NAMUOMBA mUNGU NIISHI HADI NIJE KUKUTANA NA HARUSI YA WANA-JF WAWILI, say Bht na Bujibuji!...its going to be sooo nice..
Maisha mema KWA newly-wedded-couple!
Hongera kwa Mr and Mrs. Geoff...Mungu awaajaalie ndoa njema na watoto wengi...we need nieces and nephews.
mambo vipi dearest... mzima wewe?...mie naombeni pics tu, Kaizer/Fidel na wengineo mliohudhuria plz lpz pics.
mambo vipi dearest... mzima wewe?...mie naombeni pics tu, Kaizer/Fidel na wengineo mliohudhuria plz lpz pics.
.....Pole sana mkubwa, I know it was tough and very good experience as well.....!
.....na mchango ulikujaje, mbona yeye ni ''Invisible''...?...teh!tehe!teheee!
...I know...with WO!WO!WO!...Ulanzi, ugimbi......mambo lazima yalikuwa bambam......!
hehhe mkuu senks!
Umekosa mengi sana mkuu NL....I cant tell it all.....mchango wa "Invi" ulikuja ivo ivo ki invisible...ukaonekana ila YEYE ndo ivo tena...naona hii kazi ya JF upgrade ya over the weekend imemkeep busy sana....
Am very well my dear...u? how's everything? U in Nai? ile kahawa yetu eti 2010 karibia iishe! LOL
calm down bana!,Nilituma mchango pia, sikuambiwa kama ulifika au la, sikutumiwa hata kadi bana. Hizi harusi za wabongo bana...! Sichangii tena.....!!!!
Unfortunately hakuna mdada wa JF aliyeweza kuhudhuria labda Fidel80 awe alilidaka haitakuwa mbaya sana kama kalishika tutamuoza tuu.