Wapwazz na Binamuz duniani kote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapwazz na Binamuz duniani kote!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JS, Feb 15, 2010.

 1. JS

  JS JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,067
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hellow everyone how are you doing??? Isnt it a lovely monday after you got time to spend with your loved ones over the weekend??

  Well kijana wetu Geoff ameoa tayari he is somebody's husband now kwa wale mliokuwa mna mategemeo ya kumpata ndo mshamkosa hivo mjipange upya tena kwa strategies mpya au sio........

  Thanks to all mlio msupport in one way or the other we really appreciate it so much. You made his day worthy to remember always.MUNGU atawazidishia.

  Tuliendeleze libeneke la JF kwenye shida na raha na you will never know maybe somebody else atasema anaoa/anaolewa hapahapa JF.

  Have a lovely day and take care of yourselves.Love you all so much that i cant sleep without a thought of you kidogo (dont blush lakini)........

  [​IMG][​IMG][​IMG]   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Safi sana.

  Who is next on a queue? Hope kuna mwana JF lilikamata ua la bibi harusi au tumetoka kapa?
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Hongera zake Binamu..
  Sasa ndo anainza safari .ndeeeeeeeeeefu mungu amtangulie katika hili
  Amen
   
 4. JS

  JS JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,067
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Unfortunately hakuna mdada wa JF aliyeweza kuhudhuria labda Fidel80 awe alilidaka haitakuwa mbaya sana kama kalishika tutamuoza tuu.
   
 5. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,506
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Hongereni !!
   
 6. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Nami pia nimtakie maisha marefu. Ndoa ni ngumu lakini uvumilivu ndio muhimu. Wakae chini mapema na kuweka pririoties za kufanya kwa pamoja maana sasa wao ni mwili mmoja.

  Hongereni jamani.
   
 7. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Thx for info dia,I spoke with him 30min before he went to church,may the Almight God awawezeshe yoteeeee ktk yy watiae nguvu na kuvuka ups and downs.
   
 8. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,506
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Wee JS, kadi yangu ulimpa nani?
   
 9. w

  wa 16 Member

  #9
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ilikuwa safi sana na ilipendeza sana.tulifurahi sana.

  Mungu yu pamoja nao
   
 10. JS

  JS JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,067
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Aiiiiiii Sinkala mbona unakuwa mkali sasa wajameni??? Mmmh hii kesi naomba Fidel akiingia jamvini anisaidie kujibu
   
 11. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #11
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,100
  Likes Received: 497
  Trophy Points: 180
  Nilituma mchango pia, sikuambiwa kama ulifika au la, sikutumiwa hata kadi bana. Hizi harusi za wabongo bana...! Sichangii tena.....!!!!
   
 12. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hongera kwa Mr and Mrs. Geoff...Mungu awaajaalie ndoa njema na watoto wengi...we need nieces and nephews.
   
 13. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Me!!! details coming soon! :D
   
 14. w

  wa 16 Member

  #14
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana kaka naamini ulifika
   
 15. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 459
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Ni mwanzo mwema wa kuyakubali majukumu, awe mvumilivu, kuna mtihani lakini yote lengo lake ni kumjenga mtu kiimani, asubiri na mambo yatakuwa safi! Wabarikiwe yeye na mkewe pamoja na watoto watakaowazaa kwenye ndoa yao!
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,794
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  Mambo haya yanahitaji hekima ya Mungu. naamini the most high atakupa hekima hiyo.

  Jana nimeona live, mtu katoa pete katupilia mbali...tena bar sasa, akiwa na my wifey wake. ACHA KABISA!!!
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,609
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Ndoa ndoana! Sasa hiyo ndoana iwe na chambo cha kutosha
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,770
  Likes Received: 1,679
  Trophy Points: 280
  LOL Mkuu hapa nilipo niko choka mbaya kwa ajili ya safari na pilika pilika za harusi.

  Check your email bana..halafu kadi ingekuopataje na wewe ni "Invisible" bana??

  Laters wadau ila it was fantastic to say the least! Thank you all for making this a reality!
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,231
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Safi sana..Kwa niaba ya kundi kubwa la TULIOOA ZAMANI hapa JF, namkaribisha sana Geoff aanze rasmi kupashiwa maji asubuhi...!Du , umekosa mengi dogo!

  Mi najitolea kutoa ushauri wa bure pindi utakapoona the dunia turns black to you!
  Tuko pamoja sana!

  Waoaji na waolewaji, dont hesitate to announce your intentions out here, whenever you have somebody wanting you!

  NAMUOMBA mUNGU NIISHI HADI NIJE KUKUTANA NA HARUSI YA WANA-JF WAWILI, say Bht na Bujibuji!...its going to be sooo nice..
  Maisha mema KWA newly-wedded-couple!
   
 20. w

  wa 16 Member

  #20
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haha! ndoa bana!!!!
  nasikia eti ndo chanzo cha vifo vingi
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...