TotoAisee
ni kweli ni ujinga, whether angekaa nalo moyoni au kulisema hadharani lakini alichokisema ndio ukweli halisi wa kinachoendeleaDah! Zee zima linajisifia ujinga!
View attachment 3067866
NB: Kuwa na mahusiano mengi sio sifa bali ni UJINGA
NaamToto
Shkamoo toto😊Naam
Marabaa hujamboShkamoo toto😊
InaumaDah! Zee zima linajisifia ujinga!
NB: Kuwa na mahusiano mengi sio sifa bali ni UJINGA
Kapanya buku wewe 😁😁😁Marabaa hujambo
Dr unazingua 😁Inauma
Kwanini sasa😃😃🤒Kapanya buku wewe 😁😁😁
Mimi floor ya tatu chumba namba moja block E UDOM😁😁😁Tatizo hukuwahi kunambia umri wako,. Anyways shikamoo🫡
Wewe ni kibonge 😜😜😜 tuMimi nina miaka 37 wewe je?🤔
😂Siku mtakayoniona ndio siku mtashika adabu😉Wewe ni kibonge 😜😜😜 tu
Seriously!?Mimi nina miaka 37 wewe je?🤔
Yeah! Nina 42 mkuu, wewe je?Seriously!?