Ni kweli mshana jr, wapo wengi.Mmoja nilimkuta amezingirwa na kundi la
vijana walokuwa wakicheka sana. Nilipoulizia kisa nikaambiwa gari alilokuwa
anaendesha huyo dada lilizimika ghafla.Akaomba msaada. Vijana wakachunguza
wakamwarifu kwamba mafuta (petroli) yamekatika.Dada kama mtaalamu vile
akaanza: "Nikiweka diseli nayo itaisha haraka kama petroli?"Vijana wakashindwa
kumjibu wakaanza kucheka sana.
Quii quiii quiiiii nasikia wakipata ajali lazima ndogo itoke
Yupo mrembo mmoja wa kukata na shoka alikuwa ameegemea gari moja zuri tu, alinisimamisha siku moja asubuhi, nikadhani ni mtego wa kijambazi lakini nikajipa moyo huku nikijiweka sawa kwa lolote.Ni kweli mshana jr, wapo wengi.Mmoja nilimkuta amezingirwa na kundi la
vijana walokuwa wakicheka sana. Nilipoulizia kisa nikaambiwa gari alilokuwa
anaendesha huyo dada lilizimika ghafla.Akaomba msaada. Vijana wakachunguza
wakamwarifu kwamba mafuta (petroli) yamekatika.Dada kama mtaalamu vile
akaanza: "Nikiweka diseli nayo itaisha haraka kama petroli?"Vijana wakashindwa
kumjibu wakaanza kucheka sana.
grafani11 shemeji anaijua hii stori?Yupo mrembo mmoja wa kukata na shoka alikuwa ameegemea gari moja zuri tu, alinisimamisha siku moja asubuhi, nikadhani ni mtego wa kijambazi lakini nikajipa moyo huku nikijiweka sawa kwa lolote.
Nilipopaki alinifuata na kuniomba msaada gari yake aliipaki sehemu aliporudi haiwaki tena. Kama kawaida ya trouble shooting nikamuomba afungue boneti. Nikamwambia awashe gari halikuwaka, nilivyoangalia kwenye betri nikakuta betri imefunikwa na ile wanaita Carbon kibao, Nikasafisha terminal vizuri kabisa nikafunga tena na kumwambia awashe gari kitu jino moja kikawaka.
Akanishukuru sana nikamjibu asijali, hata namba ya simu sikuomba kwa kuwa alinichelewesha kwenye mishemishe yangu. Siku moja nikiwa Mlimani City kuosha macho nikakutana naye na yeye ndiye aliyeanza kuniona. Akaniambia kwanini tusipate japo juisi pale samaki samaki, huo ndiyo ukawa mwanzo wa kufahamiana zaidi mpaka akawa mchepuko wangu.
Tukiwa naye nikabaini kwamba kumbe hajawahi kufahamu hata kuangalia maji ya rejeta achilia mbali kufungua boneti kila kitu cha gari mpaka aite fundi au dereva wao wa nyumbani.
Preta njoo huku wanamisema.
Mwingine gari ilimzimikia kwa kuishiwa mafuta anaulizwa kuhusu mafuta kama yapo akasema yapo nus tenki kumbe alisoma mshale wa temperechaaa......
Na tutamisema sana maana mambo ya kusema tairi kwa juu ni nzima lakini kwa chini ndo lina pancha tumechoka.
Sasa wale wa kupaki kwenye pampu za mafuta kulia wakati mfuniko wa tenki upo kushoto ndo balaa... maana ni wengi kweli... Sasa hapo umwambi arudi nyuma aende upande mwingine utashangaa ubishi... kumbe rivasi ndo sheiidaah
Yuko mama mmojaMwingine gari ilimzimikia kwa kuishiwa mafuta anaulizwa kuhusu mafuta kama yapo akasema yapo nus tenki kumbe alisoma mshale wa temperechaaa......
na unakuta ana viatu pea mbili za kuendeshea na kutembelea.
Hii hata kwangu ipo.......mchuchumio na pedali mbali mbali..........
halafu mwambie Mshana Jr........Amarok naipiga jeki mwenyewe.........terminal zikizingua.......coke inahusika........service nafanya mwenyewe........mpaka CV Joint nafunga mwenyewe..........