Wapo wapi wanawake wa namna hii karne hizi??

Wapo wapi wanawake wa namna hii karne hizi??

Ila nasikitika Sana Kama Kuna wanawake wanayafanya hayo yote na bado waume zao wanachepuka nje tena bila kificho na watoto juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
..wanafanyiwa yote hayo lakini zipu za suruali zao zimeharibika mdogo wangu. Ni ngumu sana kumpa binadamu kila anachotaka na akaridhika [emoji817]
 
Na tutaona sasa [emoji849]

Tutashinda kwa michepuko kuoga ,kunyooshewa,tutamiliza huko. tutarudi nyumban kulala tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na bado, hadi mkumbuke mlikoziacha akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbaf sana akuogeshe mikono wewe kilema? Yaani ntampiga kereb ambayo hataisahau.
Mke aniheshim tu baasi.sijui niogee kwenye kisosi. Mara anibebe sijui mgongoni!
Vimigongo venyewe vya chipsï/kuku Nikiteleza?......
Haya amenibeba ajivuute weee! Mpaka tufike, anapotaka mweeee! Pesa, kazi, Mazoezi nifanye saa ngapi? Huyo mke anakulemaza siku akifa na wewe unakufa.Tanga msije bara
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nasikitika Sana Kama Kuna wanawake wanayafanya hayo yote na bado waume zao wanachepuka nje tena bila kificho na watoto juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyanyua panga na nyanyua mkuki...

Hahahaaaa

Wanaume hawajawahi kubadilika sana il wanawake wamechukua hulka za wanaume

Ndo maana wanawake wako wengi ili wanaume wachague mwenye sifa ya uanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom