Wapo wapi shafi bora na ahmed bora?

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Kwa wapenda soka wa club za hapa nchini. Kama mtakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 1990 club ya simba ilikuwa na wafadhili SHAFI BORA na AHMED BORA. Siwasikii siku hizi, WAPO WAPI??? TUJUZANE
 
miaka ya themanini wakati huo majimaji inatesa vibaya mno hao ndo walikuwa wafadhili. sijui wamepotelea wapi hawa jamaa.
 
Pesa ulimbo na urimbo ukinasa natafuta pakujificha mambo yaishe maana jina langu lilishazagaa kama dagaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom