Wapo wapi Amagro?

Wapo wapi Amagro?

majid musisi

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
184
Reaction score
36
Habari zenu wana jamvi, natumai mu wazima,Naomba kuuliza zilipo ofisi za Amagro au Association of mango growers hap a Dar es salaam. kwa anaejua naomba msaada tafadhali.Natanguliza shukrani.
 
Wapo Urafiki, zamani zilikuwa nyumba za kuishi wafanyakazi karibu na kituo cha polisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom